Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Mmekuja kivingine tena baada ya kudai watendakazi walikuwa wanatishwa , alaf hao hao watendaji kazi mliwafukuza woteIla za ndani ni kuwa viwanda vingi viliumizwa kwa wakati huo maana viwanda hutumia umeme mwingi, vikikatiwa sio rahisi kupata kelele kama wananchi wakikatiwa
Huu ni urongo bwanaIla za ndani ni kuwa viwanda vingi viliumizwa kwa wakati huo maana viwanda hutumia umeme mwingi, vikikatiwa sio rahisi kupata kelele kama wananchi wakikatiwa
Uliona nini.Nilikuwa hapa hapa nilipo sasa hivi.
Alikuwa hajalewa pombe? Maana huwa analewa mpaka analala kwenye meza za baa, wakati mwingine anabebwa mzegamzega kupelekwa nyumbani hajitambuiMTANGAZAJI MAHIRI nchini Tanzania, Gerald Hando amemuuliza Januari Makamba kwanini alipoingia kwenye Wizara hiyo umeme ukaanza kukatika hovyo kwanini asimuulize Kalemani aliwezaje.
"Januari Makamba tumuulize swali moja dogo sana Kalemani amekaa miaka 6 umeme haujakatika yeye ameingia tu umeme umeanza kufanya vurugu nini shida, kwanini asimuulize Kalemani alifanyaje?" amehoji Hando
"Si chama kimoja wale si wabunge wale, si Serikali moja wale kwanini asimuulize Kalemani alifanya nini, Januari Makamba amuulize Dk Kalemani ulifanyaje uliwezaje, tumekaa six years hapa hatujaona situation kama hii make wamesingizia maji sasa maji mafuriko mabomba yanapasuka" amehoji Hando
View attachment 2462435
Tuliza akili kidogo nikukumbushe,Kalemani umeme ulikuwa unakatika kila siku....lakini mmeshaanza kubadili facts ili agenda yenu ifanye kazi
Huo ni uongo tungesikia malalamiko ya wafanyakazi waliocha kazi kwa sababu ya viwanda vyao kukosa umeme.. wafanyakazi ni wengi sana huwezi kuficha hiyo siri hata siku moja ingejulikana tu.Ila za ndani ni kuwa viwanda vingi viliumizwa kwa wakati huo maana viwanda hutumia umeme mwingi, vikikatiwa sio rahisi kupata kelele kama wananchi wakikatiwa
watanzania wengi ni kama mataahira na mmoja wapo ni wewe,kwamba gerald hando anatumika na watu amchafue huyo waziri mpuuzi.jamaa ameshafuka kitambo tu sema system ya utawala imekaa ovyo jamaa alitakiwa awe jela sasa hivi kwa nchi zinazojitambua.maana kukata umeme makusudi ili kampuni yenu ipate wateja wa majenereta huo ni uhujumu uchumi na china walienda mbali zaidi adhabu ni kunyongwaWho is behind Gelard hando?
Hajui huyu hasara zilizosababishwa katika kipindi cha uwaziri wa januari, watu wamefilisika biashara zao zimekufa wauza barafu, wauza bucha za samaki, nyama, watu wa saluni za kike na za kiume, watu wa stationary, wauza juice, maji, watu wa kuchomelea mageti na vyuma mbalimbali na shughuli zote zinazotegemea umeme alafu yeye anakuja na stori nyepesi eti kuna mtu yuko nyuma ya hando?watanzania wengi ni kama mataahira na mmoja wapo ni wewe,kwamba gerald hando anatumika na watu amchafue huyo waziri mpuuzi.jamaa ameshafuka kitambo tu sema system ya utawala imekaa ovyo jamaa alitakiwa awe jela sasa hivi kwa nchi zinazojitambua.maana kukata umeme makusudi ili kampuni yenu ipate wateja wa majenereta huo ni uhujumu uchumi na china walienda mbali zaidi adhabu ni kunyongwa
Niliona mengi.Uliona nini.
hasara zilizosababishwa katika kipindi cha uwaziri wa januari, watu wamefilisika biashara zao zimekufa wauza barafu, wauza bucha za samaki, nyama, watu wa saluni za kike na za kiume, watu wa stationary, wauza juice, maji, watu wa kuchomelea mageti na vyuma mbalimbali na shughuli zote zinazotegemea umeme alafu yeye anakuja na stori nyepesi eti kuna mtu yuko nyuma ya hando?Niliona mengi.
za ndani kwako au ?Ila za ndani ni kuwa viwanda vingi viliumizwa kwa wakati huo maana viwanda hutumia umeme mwingi, vikikatiwa sio rahisi kupata kelele kama wananchi wakikatiwa
Kama ni kweli viwanda vilipunguza uzalishaji kwanini hakukuwa na mfumko mkubwa wa bei za bidhaa kama sasa. maana ukipunguza uzalishaji bidhaa zinapungua sokoni na kusababisha ongezeko la beiMbona walishasema kwanini mgao haukuwepo wakati wa mwendazake. According to Makamba
1. Serikali ya Magu ililazimisha viwanda vipunguze uzalishaji ili kupunguza demand
2. Hawakufanya maintenance
Kama ni ukweli au uongo wanajua wao
Mkuu Nyani Ngabu karibu sana, tulimiss comment zako mkuu.Ni kweli kabisa kuwa kipindi Kalemani ni waziri huo umeme haukuwa shida? Haukuwahi kukatika?
Ulikuwa ukikatika ingawa sio kwa kiwango hiki cha Sasa cha Mgao.Ni kweli kabisa kuwa kipindi Kalemani ni waziri huo umeme haukuwa shida? Haukuwahi kukatika?
Mkuu hilo si Kweli kwamba "umeme ulikua unakatika kila siku" Ulikuwa unakatika kwa kiwango cha kawaida, Sio kwa Mgao Rasmi kama ilivyo Sasa.Kalemani umeme ulikuwa unakatika kila siku....lakini mmeshaanza kubadili facts ili agenda yenu ifanye kazi