Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

Ulipokua unakatika walikua wanatoa taarifa kwani tanesco wameanza kipindi gani kuwa na emergency service 24 hrs si kipindi cha kale tanesco wameanza kuwa na whatsapp groups za info si kipindi cha kale kwenye ukweli tuseme tu ila now makamba ni miyeyusho mitupu umeme unakatika hata kama wanatoa taarifa ila dah haikupaswa iwe hivi
Prof muhongo ndiye aliyeboresha emergency na mawasiliano kwa umma kwa tanesco..toa uwongo wako na kalemani wako
 
Hakukuwa na mgao. Umeme kukatika ni kawaida awamu zote,ila mgao haukuwepo wakati wa Kalemani.
Ila kwa sasa mgao umeshakwisha au huko unapoishi bado mgao unaendelea mkuu?
 
Prof muhongo ndiye aliyeboresha emergency na mawasiliano kwa umma kwa tanesco..toa uwongo wako na kalemani wako
Ah nlitaka kudanganya uma kumbe mko makini ila una uhakika mhongo alifanya hayo mapinduzi na utekeelzaji wake au umedandia ... Kwa ....
 
Hii nchi ni bora liende, wengine tulisema mapema kabisa kuwa hizi propaganda za kipara ni marefu yenye ncha ipo siku atajikuta mtupu.

BTW:Kuna Manispaa moja iliondoa mitaani watu wa welding, mafundi seremala,watu wa aluminium na watu wengine ambao shughuli zao zinahitaji umeme na wakatengewa eneo lao maalumu,

Cha ajabu hilo eneo lililotengwa ndo linaongoza kwa kukatiwa umeme kuliko maeneo mengine yote ya mji ule.😁
 
Hakuna awamu ambayo umeme haukuwahi kukatika ... Hata ulikuwa ukikatika vyombo vya hbr havikuthubutu kuandika kbsaa ... chini ya ccm hakuna uafadhari wwte sema tu mmeamua kujisahaulisha .... kifupi moto ni ule ule na sufulia ni lile lile tu

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
nipewe mm (kajamba nani ) hii wizara ya mashati na madini ntawashangaza hakika......miaka 60 bado umeme n shidaaaa na majii daaaahh hii sio powh
 
Hakukuwa na mgao. Kukatika mara moja moja ni kawaida awamu zote.

Actually mgao upo kila mwaka.. tofauti ni kuwa walikuwa hawatangazi official na mgao haukuwa mkali kama wa mwaka huu...hata WA mwaka huu ulianza kabla haujatangazwa....
 
Hakuna awamu ambayo umeme haukuwahi kukatika ... Hata ulikuwa ukikatika vyombo vya hbr havikuthubutu kuandika kbsaa ... chini ya ccm hakuna uafadhari wwte sema tu mmeamua kujisahaulisha .... kifupi moto ni ule ule na sufulia ni lile lile tu

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app

Wanaanza propaganda kama vile Kalemani alikuwa waziri Bora sana...wakati yeye alisimamia mgao kiimya kimyaa...
 
Ah nlitaka kudanganya uma kumbe mko makini ila una uhakika mhongo alifanya hayo mapinduzi na utekeelzaji wake au umedandia ... Kwa ....
Nina uhakika,nilikua mtu mzima na elimu yangu nikiwa mfuatiliaji wa mambo ya serikali
 
Ila za ndani ni kuwa viwanda vingi viliumizwa kwa wakati huo maana viwanda hutumia umeme mwingi, vikikatiwa sio rahisi kupata kelele kama wananchi wakikatiwa
Porojo tu na wew unaamini hizo porojo
 
Kuhusu swali la 27000 ni sera tu! Maana ile ni huduma na lengo lilikuwa watu wengi waunganishiwe umeme then Tanesco ipate mapato yake kupitia ununuaji wa Luku!
Hiyo ndo akili kubwa waliokuwa nayo jpm akaja saa 100 yeye akasema hamana umeme wa 27000
 
Hii nchi ni bora liende, wengine tulisema mapema kabisa kuwa hizi propaganda za kipara ni marefu yenye ncha ipo siku atajikuta mtupu.

BTW:Kuna Manispaa moja iliondoa mitaani watu wa welding, mafundi seremala,watu wa aluminium na watu wengine ambao shughuli zao zinahitaji umeme na wakatengewa eneo lao maalumu,

Cha ajabu hilo eneo lililotengwa ndo linaongoza kwa kukatiwa umeme kuliko maeneo mengine yote ya mji ule.[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanampa hela aropoke ropoke...anafikiri watu wote wajinga
Huu ni uongo mkubwaa, watu wasihoji ukweli eti anatumwaa. Sikutegemea kuona comment ya aina hii kutoka kwako wee.

Acheni watu wahoji ukweli, kwani shida nn si huyo waziri atolee majibu ya maswali ya mr Hando.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnataka Kalemani aingie mtegoni, arudishwe umeme ukatike mara mbili zaidi ili kuweka level. Aendelee tu huyu anayejiona genius [emoji50]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom