Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

Tuliza akili kidogo nikukumbushe,

Mlivyo pewa wizara umeme ukaanza kukatika mkasema nikwasababu mitambo ilikuwa haijafanyiwa service kwa kipindi kirefu.

Then mkasema unakatika kwa sababu ya ukame maji hamna.
Sasaivi maji yapo mnasaje!!!.

You guys are totally useless!.

Sasa hivi ni wapi umeme unakatika?
 
Kwani kitu wanachohoji ni cha kweli au wanamsingizia?

Kwenye michezo ya siasa huwa kuna "twisting angle and plot"
Ni kweli kabisa kuna shida ya umeme ...na ni kweli kabisa wakati wa Magufuli shida ya umeme ilikuwepo lakini sio kubwa kama sasa ..

Sasa kinacho fata ni watu wenye agenda maalum kutumia hili tatizo Ku twist angle and plot....Kwa maslahi Yao maalum na hapo ndo Gerald Hando anapolipwa pesa Kwa kazi maalum
 
Mbona unatetea huo utopolo kila siku, ina maana wewe unanufaika na kukatika kwa umeme?
Au na wewe unalipwa kwa kuitetea ubovu wa serikari?
Gerald Hando...paid journalist...wanarudia zoezi lile lile yeye na Kipanya walivyofanya kazi maalum Kwa Dr Idrisa..haadi akatolewa...wakaingia watu wa Ngeleha zikapigwa bilioni 500...
 
Kwenye michezo ya siasa huwa kuna "twisting angle and plot"
Ni kweli kabisa kuna shida ya umeme ...na ni kweli kabisa wakati wa Magufuli shida ya umeme ilikuwepo lakini sio kubwa kama sasa ..

Sasa kinacho fata ni watu wenye agenda maalum kutumia hili tatizo Ku twist angle and plot....Kwa maslahi Yao maalum na hapo ndo Gerald Hando anapolipwa pesa Kwa kazi maalum
Nafikiri hii hoja haina mashiko cause haitusaidii kujua kwa nini baada ya miaka sita tatizo la umeme ,suluhisho lake halisogea kwa kwenda mbele ila , linaanza kurudi nyuma tulikokuwa
 
Kwenye michezo ya siasa huwa kuna "twisting angle and plot"
Ni kweli kabisa kuna shida ya umeme ...na ni kweli kabisa wakati wa Magufuli shida ya umeme ilikuwepo lakini sio kubwa kama sasa ..

Sasa kinacho fata ni watu wenye agenda maalum kutumia hili tatizo Ku twist angle and plot....Kwa maslahi Yao maalum na hapo ndo Gerald Hando anapolipwa pesa Kwa kazi maalum
Kama unakiri wakati wa Magufuli shida ya umeme ilikuwepo lakini sio kubwa kama sasa, hapo tayari unakubaliana na alichosema Hando, mwambie Januari akamuulize Kalemani, wao walifanyaje mpaka tatizo likawa dogo kulinganisha na ilivyo sasa.

Sababu nyingine zote ulizoandika hapa, amenunuliwa nk ni ujinga tu mliozoea wa kuwafunga midomo wale wanaohoji, hamtaki kuguswa! vinginevyo, kama una ushahidi tuwekee hapa, tumjue aliemnunua, na amenunuliwa kwa bei gani, kinyume na hapo, shut up!.
 
Watz tu watu wenye akili hafifu sana yani... tuna change position kululingana who interests you....

It's obvious Kaleman looks like he did a great job..Why now?
Watu wanakuja na character assassination chap na haraka...haha
Punguza vingereza vingi,nyoosha maelezo
 
Ni kweli kabisa kuwa kipindi Kalemani ni waziri huo umeme haukuwa shida? Haukuwahi kukatika?

Mkubwa hayo maswali watajibu wenyewe huko maana sababu haziishi.

Nafurahi kukuona Tena , uliadimika mno.

Heri ya mwaka mpya Kiongozi
 
Wakati wa Kalemani kulikuwa na tatizo la Kunguru waliokuwa wakata umeme mara kwa mara
 
Mbona walishasema kwanini mgao haukuwepo wakati wa mwendazake. According to Makamba
1. Serikali ya Magu ililazimisha viwanda vipunguze uzalishaji ili kupunguza demand
2. Hawakufanya maintenance

Kama ni ukweli au uongo wanajua wao
Kiangazi Juz alisema tatizo Ni mvua,
Sahv Sijui atajitetea nn na mvua zinanyesha nchi nzima
 
Kwenye michezo ya siasa huwa kuna "twisting angle and plot"
Ni kweli kabisa kuna shida ya umeme ...na ni kweli kabisa wakati wa Magufuli shida ya umeme ilikuwepo lakini sio kubwa kama sasa ..

Sasa kinacho fata ni watu wenye agenda maalum kutumia hili tatizo Ku twist angle and plot....Kwa maslahi Yao maalum na hapo ndo Gerald Hando anapolipwa pesa Kwa kazi maalum
So mlipokua mna mctriticize JPM who was and still paying you guys to twist the angles? Heb Tuanzie hapo...
maana wakisemwa wengine its a norm, akisemwa mtoto pendwa or mama then its a twist...au ndo mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu?
 
MTANGAZAJI MAHIRI nchini Tanzania, Gerald Hando amemuuliza Januari Makamba kwanini alipoingia kwenye Wizara hiyo umeme ukaanza kukatika hovyo kwanini asimuulize Kalemani aliwezaje.

"Januari Makamba tumuulize swali moja dogo sana Kalemani amekaa miaka 6 umeme haujakatika yeye ameingia tu umeme umeanza kufanya vurugu nini shida, kwanini asimuulize Kalemani alifanyaje?" amehoji Hando

"Si chama kimoja wale si wabunge wale, si Serikali moja wale kwanini asimuulize Kalemani alifanya nini, Januari Makamba amuulize Dk Kalemani ulifanyaje uliwezaje, tumekaa six years hapa hatujaona situation kama hii make wamesingizia maji sasa maji mafuriko mabomba yanapasuka" amehoji Hando.

View attachment 2462435
Wapumbavu ndio wanaweza msikiliza huyo jamaa..

Imagine jitu limeelezwa Kuna ukame umeme imepungua kwenye grid Ila linakaza.

Umeelezwa mahitaji ya umeme kwa Sasa Ni makubwa kwa sababu ya Uchumi kukua ,jitihada za vyanzo vopya zinaendelea Ila mtu amekaza fuvu,

Mwisho Tanesco wenyewe wanasema wanahitaji Til.4 na mwaka huu wamepewa Bil.500 kufanya repair na maintenance ya njia za umeme Ila jitu linakaza na ujinga wake..

Ni lini Kalemani alipokuwa Waziri umeme ulikuwa haukatiki? Pili mahitaji ya umeme kabla ya mwaka 2021 yalikuwa sawa na Sasa?

By the way Tanesco wamesema kwa Sasa mgao imepungua baada ya mvua kunyesha bado megawatt Kama 75 hivi ili umeme urejee kwenye uzalishaji wa kawaida
 
Kalemani umeme ulikuwa unakatika kila siku....lakini mmeshaanza kubadili facts ili agenda yenu ifanye kazi
Kweli. kama hujalipa bili
Si Dikteta aliigiza TANESCO ---KATA! hata kama ni Ikulu ninyi KATA!
 
Back
Top Bottom