EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Ulikuwa unakatika na Tanesco hawakudhubutu kusema ni mgao au nini. Ilikuwa kimya tu. WaTz wasaulifu sana.Kalemani umeme ulikuwa unakatika kila siku....lakini mmeshaanza kubadili facts ili agenda yenu ifanye kazi
Nimeripoti kama alivyosemaKama ni kweli viwanda vilipunguza uzalishaji kwanini hakukuwa na mfumko mkubwa wa bei za bidhaa kama sasa. maana ukipunguza uzalishaji bidhaa zinapungua sokoni na kusababisha ongezeko la bei
Watasema mvua zimezidi kiwango hivyo umeme umesusa kujitengeneza😂😂😂Hivi sasa mvua zinanyesha sijui watakuja na uongo gani? Hii nchi ilipofika basi tu, hebu ngoja tuone tunapoelekea.
Ulipokua unakatika walikua wanatoa taarifa kwani tanesco wameanza kipindi gani kuwa na emergency service 24 hrs si kipindi cha kale tanesco wameanza kuwa na whatsapp groups za info si kipindi cha kale kwenye ukweli tuseme tu ila now makamba ni miyeyusho mitupu umeme unakatika hata kama wanatoa taarifa ila dah haikupaswa iwe hiviUlikuwa unakatika na Tanesco hawakudhubutu kusema ni mgao au nini. Ilikuwa kimya tu. WaTz wasaulifu sana.
Kelemani ndo alikuwa anasema connection ya umeme ni 27k kila sehemu Tz, wakati Tanesco wana taratibu tofauti kabisa, ilikuwa usumbufu sana kwa watu.
Umeme ulikatika lakini haikuwa mara kwa mara lama sasahivi! Shida na hawa wanacho haribu visingizio ni vingi! Kipindi kile walituambia mitambo haikufanyiwa ukarabati sababu watu waliogopwa kufukuzwa kazi, ikaja story ya maji! Makamba akachukua chopa mpaka Mtera ila meneja wa Mtera alipiga nyundo ambayo uenda anajilaumu kwann hakumuweka pemben kabla ajaenda! Maana Meneja alimueleza wazi kuwa bado wanaweza kuzalisha MW 80 kama kawaida mpaka miezi 7 mbele atakama mvua hazitanyesha!Ni kweli kabisa kuwa kipindi Kalemani ni waziri huo umeme haukuwa shida? Haukuwahi kukatika?
Huku ni kumnanga tuu bure JM, hili la kukatika kwa umeme, kwanza sii kweli kuwa umeme haukukatika kabisa enzi za Kalemani.MTANGAZAJI MAHIRI nchini Tanzania, Gerald Hando amemuuliza Januari Makamba kwanini alipoingia kwenye Wizara hiyo umeme ukaanza kukatika hovyo kwanini asimuulize Kalemani aliwezaje.
"Januari Makamba tumuulize swali moja dogo sana Kalemani amekaa miaka 6 umeme haujakatika yeye ameingia tu umeme umeanza kufanya vurugu nini shida, kwanini asimuulize Kalemani alifanyaje?" amehoji Hando
"Si chama kimoja wale si wabunge wale, si Serikali moja wale kwanini asimuulize Kalemani alifanya nini, Januari Makamba amuulize Dk Kalemani ulifanyaje uliwezaje, tumekaa six years hapa hatujaona situation kama hii make wamesingizia maji sasa maji mafuriko mabomba yanapasuka" amehoji Hando
View attachment 2462435
Haiwezekani, ubebwe mzegamzega halafu saa kumi na moja asubuhi uwe kazini!Alikuwa hajalewa pombe? Maana huwa analewa mpaka analala kwenye meza za baa, wakati mwingine anabebwa mzegamzega kupelekwa nyumbani hajitambui
Duu hili likitokea hukai hata mwezi utasikia vilio kila kona.Mbona walishasema kwanini mgao haukuwepo wakati wa mwendazake. According to Makamba
1. Serikali ya Magu ililazimisha viwanda vipunguze uzalishaji ili kupunguza demand
2. Hawakufanya maintenance
Kama ni ukweli au uongo wanajua wao
Hii ni uongo maana ukienda kwenye data zao utakuta umeme unaoitajika nchini ni MW 1500 wakati uzalishaji ni MW 1850! Ukataka viwandani kwanini?Ila za ndani ni kuwa viwanda vingi viliumizwa kwa wakati huo maana viwanda hutumia umeme mwingi, vikikatiwa sio rahisi kupata kelele kama wananchi wakikatiwa
Kuhusu swali la 27000 ni sera tu! Maana ile ni huduma na lengo lilikuwa watu wengi waunganishiwe umeme then Tanesco ipate mapato yake kupitia ununuaji wa Luku!Ulikuwa unakatika na Tanesco hawakudhubutu kusema ni mgao au nini. Ilikuwa kimya tu. WaTz wasaulifu sana.
Kelemani ndo alikuwa anasema connection ya umeme ni 27k kila sehemu Tz, wakati Tanesco wana taratibu tofauti kabisa, ilikuwa usumbufu sana kwa watu.
Haukuwa unakatwa ieleweke umeme haukatiki ila unakatwa kusudi ili watu flani wanaufaike na upungufu au mgao wa umeme.Ni kweli kabisa kuwa kipindi Kalemani ni waziri huo umeme haukuwa shida? Haukuwahi kukatika?
Ukipewa jibu nami nijulisheNchi gani hiyo umeme ulikuwa unakatika kila siku Enzi za kalemani?
Gerald Hando...paid journalist...wanarudia zoezi lile lile yeye na Kipanya walivyofanya kazi maalum Kwa Dr Idrisa..haadi akatolewa...wakaingia watu wa Ngeleha zikapigwa bilioni 500...
MmmhGerald Hando...paid journalist...wanarudia zoezi lile lile yeye na Kipanya walivyofanya kazi maalum Kwa Dr Idrisa..haadi akatolewa...wakaingia watu wa Ngeleha zikapigwa bilioni 500...
La si kweli mvua zimenyesha mito imefurika sasa huo uhaba wa maji kuendeshea mitambo umetokea wapi tena?Gerald Hando...paid journalist...wanarudia zoezi lile lile yeye na Kipanya walivyofanya kazi maalum Kwa Dr Idrisa..haadi akatolewa...wakaingia watu wa Ngeleha zikapigwa bilioni 500...
Haihusu, cha msingi ni ana hoja ya msingi...baasi!.Who is behind Gelard hando?
Kwa hili siyo kweli labda kama hukuwa unaishi Tanzania!! Penye ukweli usemwe!!Kalemani umeme ulikuwa unakatika kila siku....lakini mmeshaanza kubadili facts ili agenda yenu ifanye kazi