Tuliza akili kidogo nikukumbushe,
Mlivyo pewa wizara umeme ukaanza kukatika mkasema nikwasababu mitambo ilikuwa haijafanyiwa service kwa kipindi kirefu.
Then mkasema unakatika kwa sababu ya ukame maji hamna.
Sasaivi maji yapo mnasaje!!!.
You guys are totally useless!.
Kwani kitu wanachohoji ni cha kweli au wanamsingizia?
Or more precisely who is behind u, cause the question of hando benefits the country from tax paid and citizen to benefit fro electricity useWho is behind Gelard hando?
Gerald Hando...paid journalist...wanarudia zoezi lile lile yeye na Kipanya walivyofanya kazi maalum Kwa Dr Idrisa..haadi akatolewa...wakaingia watu wa Ngeleha zikapigwa bilioni 500...
Nafikiri hii hoja haina mashiko cause haitusaidii kujua kwa nini baada ya miaka sita tatizo la umeme ,suluhisho lake halisogea kwa kwenda mbele ila , linaanza kurudi nyuma tulikokuwaKwenye michezo ya siasa huwa kuna "twisting angle and plot"
Ni kweli kabisa kuna shida ya umeme ...na ni kweli kabisa wakati wa Magufuli shida ya umeme ilikuwepo lakini sio kubwa kama sasa ..
Sasa kinacho fata ni watu wenye agenda maalum kutumia hili tatizo Ku twist angle and plot....Kwa maslahi Yao maalum na hapo ndo Gerald Hando anapolipwa pesa Kwa kazi maalum
Ukweli ni huuIla za ndani ni kuwa viwanda vingi viliumizwa kwa wakati huo maana viwanda hutumia umeme mwingi, vikikatiwa sio rahisi kupata kelele kama wananchi wakikatiwa
Kama unakiri wakati wa Magufuli shida ya umeme ilikuwepo lakini sio kubwa kama sasa, hapo tayari unakubaliana na alichosema Hando, mwambie Januari akamuulize Kalemani, wao walifanyaje mpaka tatizo likawa dogo kulinganisha na ilivyo sasa.Kwenye michezo ya siasa huwa kuna "twisting angle and plot"
Ni kweli kabisa kuna shida ya umeme ...na ni kweli kabisa wakati wa Magufuli shida ya umeme ilikuwepo lakini sio kubwa kama sasa ..
Sasa kinacho fata ni watu wenye agenda maalum kutumia hili tatizo Ku twist angle and plot....Kwa maslahi Yao maalum na hapo ndo Gerald Hando anapolipwa pesa Kwa kazi maalum
Ungechamganya za kwake na zako usinheripotiNimeripoti kama alivyosema
ulikatika kaka sijui huyo handonana akili ipiNi kweli kabisa kuwa kipindi Kalemani ni waziri huo umeme haukuwa shida? Haukuwahi kukatika?
hivi januari anaweza kufanya makusudi ili umeme ukatike?At least you are objective!
Punguza vingereza vingi,nyoosha maelezoWatz tu watu wenye akili hafifu sana yani... tuna change position kululingana who interests you....
It's obvious Kaleman looks like he did a great job..Why now?
Watu wanakuja na character assassination chap na haraka...haha
Ni kweli kabisa kuwa kipindi Kalemani ni waziri huo umeme haukuwa shida? Haukuwahi kukatika?
Kiangazi Juz alisema tatizo Ni mvua,Mbona walishasema kwanini mgao haukuwepo wakati wa mwendazake. According to Makamba
1. Serikali ya Magu ililazimisha viwanda vipunguze uzalishaji ili kupunguza demand
2. Hawakufanya maintenance
Kama ni ukweli au uongo wanajua wao
Waandishi wa habari wangekuwa wanafanya hivyo, hakuna kitu kingeripotiwa!Ungechamganya za kwake na zako usinheripoti
So mlipokua mna mctriticize JPM who was and still paying you guys to twist the angles? Heb Tuanzie hapo...Kwenye michezo ya siasa huwa kuna "twisting angle and plot"
Ni kweli kabisa kuna shida ya umeme ...na ni kweli kabisa wakati wa Magufuli shida ya umeme ilikuwepo lakini sio kubwa kama sasa ..
Sasa kinacho fata ni watu wenye agenda maalum kutumia hili tatizo Ku twist angle and plot....Kwa maslahi Yao maalum na hapo ndo Gerald Hando anapolipwa pesa Kwa kazi maalum
Wapumbavu ndio wanaweza msikiliza huyo jamaa..MTANGAZAJI MAHIRI nchini Tanzania, Gerald Hando amemuuliza Januari Makamba kwanini alipoingia kwenye Wizara hiyo umeme ukaanza kukatika hovyo kwanini asimuulize Kalemani aliwezaje.
"Januari Makamba tumuulize swali moja dogo sana Kalemani amekaa miaka 6 umeme haujakatika yeye ameingia tu umeme umeanza kufanya vurugu nini shida, kwanini asimuulize Kalemani alifanyaje?" amehoji Hando
"Si chama kimoja wale si wabunge wale, si Serikali moja wale kwanini asimuulize Kalemani alifanya nini, Januari Makamba amuulize Dk Kalemani ulifanyaje uliwezaje, tumekaa six years hapa hatujaona situation kama hii make wamesingizia maji sasa maji mafuriko mabomba yanapasuka" amehoji Hando.
View attachment 2462435
Kweli. kama hujalipa biliKalemani umeme ulikuwa unakatika kila siku....lakini mmeshaanza kubadili facts ili agenda yenu ifanye kazi