Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

Nijuavyo waandishi Ni tunu ya taifa

Ila kwasasa,
Waandishi Kama wewe ni hasara kwny taifa letu.

Tangu JPM amekushushua vikali pale magogoni ilipomkosoa, ukapelekwa kwa ndugai ukakemewa vikali.

Sijui ndo uoga tena au vipi?
Ila sahv kiukweli umekua wa hovyo Sana brother

uchawa unakuzeesha vibaya paskali.

Hebu Nitajie tarehe ambayo magu/kalemani wakiwa madarakani tulitangaziwa mgao na mgao wa umeme.

Hivi paskali unadhan wataanzani wote waumbavu sio?
.
 
Gerald Hando...paid journalist...wanarudia zoezi lile lile yeye na Kipanya walivyofanya kazi maalum Kwa Dr Idrisa..haadi akatolewa...wakaingia watu wa Ngeleha zikapigwa bilioni 500...
Hawa jamaa wana wivu tu mama.
Tungeona lini DEGE kuuuubwa kama lile pale KIA, kama DIKTETA angeendelea kuwepo?
 
So mlipokua mna mctriticize JPM who was and still paying you guys to twist the angles? Heb Tuanzie hapo...
maana wakisemwa wengine its a norm, akisemwa mtoto pendwa or mama then its a twist...au ndo mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu?

There you go ...
So kwakuwa tulim citisize JPM chochote tunacho ongea sasa lazima kihusishwe na why tulim criticize Jpm?
Mbona tulim criticize Kikwete humu?au JPM ndo ilikuwa "dhambi kuu"
Mbona tume criticize Samia humu?

So hatuwezi ongea chochote kizuri au kibaya bila kukumbushwa tulim criticize Jpm?
 
Ila za ndani ni kuwa viwanda vingi viliumizwa kwa wakati huo maana viwanda hutumia umeme mwingi, vikikatiwa sio rahisi kupata kelele kama wananchi wakikatiwa

Kiwanda gani maana mimi nilikua nasimamia moja ya kiwanda pale mikocheni hatukuwai kuona umeme ukikatwa, makamba alivoingia tu umeme unakatwa hovyo
 
We naye Yale Yale tu naonaga watu wapumbavu sana kuamini eti umeme unakatwa Ili wauze majenereta? Kwani hao mafisadi hawamiliki mahoteli, mashamba, na viwanda? unadhani wakikata umeme gharama za uendeshaji Mali hazitopanda?

Kwa siku Moja tu umeme ukikatika ni hasara sio chini ya billion 20 kwa Dar pekee maana hata vinyozi hawana kazi siku hiyo alafu ndio unadai eti hayo mabilion yatafidiwa kwa kuuza genereta?

JPM alijua ni wajinga kawalisha upumbavu mwingi sana ikiwemo hili.
 
Huo ni uongo tungesikia malalamiko ya wafanyakazi waliocha kazi kwa sababu ya viwanda vyao kukosa umeme.. wafanyakazi ni wengi sana huwezi kuficha hiyo siri hata siku moja ingejulikana tu.

Mmoja wapo mm nilikua operation manager hakukuwa na mgao wa umeme kabisa cost za majenereta kwa miezi 3 unakuta mara 2 tu ila now hali ni mbaya sana ndomana bei za bidhaa zime skyrocket
 
Unalazimisha hoja yako. Sawa uko sahihi.
 
Gerald Hando...paid journalist...wanarudia zoezi lile lile yeye na Kipanya walivyofanya kazi maalum Kwa Dr Idrisa..haadi akatolewa...wakaingia watu wa Ngeleha zikapigwa bilioni 500...
Mbona unapaniki wakati anayeulizwa ni Waziri wa Nishati?
 
Yaani nchi hii kama,ni mgeni ndio utaamini kwamba umeme haukukatika katika utawala wa kanda ile
 
Kalemani umeme ulikuwa unakatika kila siku....lakini mmeshaanza kubadili facts ili agenda yenu ifanye kazi
Na shida ya watanzania wanasahau Sana umeme ulikuwa unakatika Sana sema mzee baba alipiga biti habari za utoaji taarifa Sasa hivi wako huru kuongea lolote hakuna anaewabughi.
 
Makamba huyo huyo alisema hakuwa na matengenezo kipindi Cha A5. Mbona mnajikanganya?
 
Kama ni kweli viwanda vilipunguza uzalishaji kwanini hakukuwa na mfumko mkubwa wa bei za bidhaa kama sasa. maana ukipunguza uzalishaji bidhaa zinapungua sokoni na kusababisha ongezeko la bei
Ni kipindi gani bei ya sukari ilipanda na haikushuka mpaka leo
 
mkuu deep pond achana na uyu chawa kuna maisha nje na kujipendekeza cha kushangaza ameanza muda mrefu lakini kila teuzi zikitoka jamaa jina lake amna[emoji16][emoji16]
 
Wewee ni muongo, usitake kudanganyaa hapa, alipwe na nani?
Watu wakihoji eti wanatumwaa, au wee ni mfaidika wa hii dhahama? Msidhani wananchi ni wajinga wanaelewa kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo baba alikua anaheshimika hapa JF, ila sasa sidhani maana ndo anaonesha jinsi alivyo. Khaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…