Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Mali ya wana CCMCCM Mali ya nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mali ya wana CCMCCM Mali ya nani?
Nafuu mimi kichwa panzi naelewa nilichoandika kuliko wewe mende unakula kwenye kabati na kuishi kwenye mtaro wa maji machafuSoma ulichoandika ukielewe ndipo uhusianishe na majibu ya aliyekujibu. Kichwa panzi nn?
Nimatakwa ya Wanaccm kama ilivyo matakwa ya wanachadema kutaka Mbowe awe mwenyekiti.Mimi sio pro Mbowe,ila Hando angeanza na CCM iliyokaa zaidi ya miaka zaidi ya 64 na still matundu ya choo tunajengewa na USA,Korea n.k. Note TANU +ASP=CCM.
Hoja yake itakuwa na mashiko Kama atawaambia kina Museveni, Kagame,CCM, Putin na Jing Pin ambao wanaongoza vyama vyao kwa miaka fahari! Kujipendekeza tu!
Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu.
Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia nafasi ya Uongozi kwenye chama chake Cha ACT Wazalendo.
Upi mtazamo wako kuhusu hoja hii ya Hando?
Nyie huko kwenu si mnatiliana sumu tu.Naunga mkono, kwa kukikalia chama kwa muda mrefu, inaondoa maana ya demokrasia hata ndani ya Chama chenyewe, ilipaswa chama, kuwa ndio pilot wa kuionyesha demokrasia halisi.
Roho inawauma? Kawashika pabayaCHADEMA Mbowe wanamuona kama Mungu, yaani usijaribu kumkosoa Mungu wao utaoga matusi. Halafu wanadai katiba mpya na huku mkononi wamekumbatia katiba ya kidkteta.
Unalinganisha nyanya na kuku! Hivi unafikiri uongozi kwenye chama cha upinzani ni sawa na kuwa kiongozi wa CCM?Mkapa = Mbowe
JK = Mbowe
JPM = Mbowe
Samia = Mbowe
Bob Makani alirithi chama kwa Edwin Mtei, Makani kaoa dada wa Mtei(SHEMEJI). Freeman Mbowe karithi kwa Makani, Mbowe kaoa mtoto wa Mtei (mkwe).
Hicho ni chama cha FAMILIA, mkitaka Mbowe atoke anzisheni chama chenu
Kosa lake ni kushindwa kuitoa CCM madarakani.Atoke ana kosa Gani .ccm ndoo itoke madarakani. Maana imekaa muda mrefu tumechoka
Mbowe yuko kibiashara zaidi. Usidanganyike kamwe kudhani kuwa ana uchungu na wananchi. Yeye anatengeneza mabilioni kwa kuwatumia nyinyi.Unalinganisha nyanya na kuku! Hivi unafikiri uongozi kwenye chama cha upinzani ni sawa na kuwa kiongozi wa CCM?
Uongozi CCM ni ulaji lakini uongozi chama cha upinzani kama CHADEMA, ni kujitoa sadaka kwaajili ya wengine.
Katika hao wote uliowataja, tutajie japo mmoja ambaye aliwahi kubambikiziwa kesi au kulala mahabusu kama wanavyofanyiŵa viongozi wa upinzani.
Kwani naye ni mwanasiasa? Basi nae aachie ngazi hapo alipoajiriwa
Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu.
Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia nafasi ya Uongozi kwenye chama chake Cha ACT Wazalendo.
Upi mtazamo wako kuhusu hoja hii ya Hando?
Zito kaachia Madaraka Lini?Nadhani ni vyema watu wajifunze kujibu hoja kwa hoja.
Mbowe kukaa miaka nenda rudi ni kushindwa katika uongozi hata kama katiba haijatoa ukomo huo na huenda katiba imewekwa hivyo maksudi kabisa.
Kiongozi mzuri ni yule anayeandaa viongozi wengine na kuwaachia nafasi ili wew ubaki kwenye nafasi ya mshauri.
Hongera Zitto kwa kuongoza kwa mfano. Inaonyesha una imani na wanachama wenzako.
Demokrasia ipewe nafasi ifanye kazi yake.Mimi sio pro Mbowe,ila Hando angeanza na CCM iliyokaa zaidi ya miaka zaidi ya 64 na still matundu ya choo tunajengewa na USA,Korea n.k. Note TANU +ASP=CCM.