Gerald Hando: Mbowe aachie ngazi, amekaa sana CHADEMA

Gerald Hando: Mbowe aachie ngazi, amekaa sana CHADEMA

Tumeona anawakuna vizuri milio Kila Kona hivyo anawafaa tutendelea kumbakisha mpaka muombe poo
Ujajibu swali langu mbona anyway kwa hiyo mpaka sasa amefanya lipi la maana labda hadi mnasema anatukuna vizuri kama nchi bado ipo kwa CCM
Na kwa nini ataki kuruhusu mawazo mapya ya watu wengine kama hawzi ruzuku ataipataje na familia haiwezi kukubali mwenyekiti wa chama atoke nje ya familia
Toka amekuwa mwenyekiti Chadema haina hata Ofisi ya Makao makuu ya kueleweka pesa za ruzuku anaendeleza miradi yake
Mbowe kawashika mahali sio bure
 
Nashangaa mara nyingi wanaowashwa na uenyekiti wa mbowe ni chawa wa chama chakavu,chadema wenyewe wametulia tu.Hapo ndipo utajua zao zina walakinii.wanajificha kwenye mgongo wa demokrasia ila dhumuni lao sio demekrasia bali uharibifu.
 
Ujajibu swali langu mbona anyway kwa hiyo mpaka sasa amefanya lipi la maana labda hadi mnasema anatukuna vizuri kama nchi bado ipo kwa CCM
Na kwa nini ataki kuruhusu mawazo mapya ya watu wengine kama hawzi ruzuku ataipataje na familia haiwezi kukubali mwenyekiti wa chama atoke nje ya familia
Toka amekuwa mwenyekiti Chadema haina hata Ofisi ya Makao makuu ya kueleweka pesa za ruzuku anaendeleza miradi yake
Mbowe kawashika mahali sio bure
Hoja Yako ingekuwa na mashiko Leo tusingekuwa na rais Hussein mwinyi Zanzibar
 
Kosoa kwa hoja sio kusimamisha tu mishipa ya kichwa kwa kutukana watu
Hando katoa hoja na mnaopinga pia toeni hoja sio matusi
Na ukiona mtu anatukana sana jua uwezo wa kufikili na kuwaza umeisha
 
Hando inamuwasha nini? Kwani Chadema si wana katiba yao? Sasa yeye Hando kinachomuwasha ni nini?
kwani katiba ya chadema inampa mamlaka mbowe ya kuwa mwenyekiti wa kudumu? yaani mnaendeshwa kama gari bovu na manakubali yaani inaonyesha chadema hakuna mtu mwingine mwenye akili ya kuendesha chama ni yeye tu stupid
 
Kosoa kwa hoja sio kusimamisha tu mishipa ya kichwa kwa kutukana watu
Hando katoa hoja na mnaopinga pia toeni hoja sio matusi
Na ukiona mtu anatukana sana jua uwezo wa kufikili na kuwaza umeisha
Hana hoja angekua na hoja angejibiwa kwa ufasaha.kwasababu alitakiwa kabla yakuongea hayo aisome katiba ya chadema alafu aone kama uwepo wa mbowe kwenye hiyo nafasi umekiuka katiba.tofauti na hapo ni unafiki tu.
 
Lini chadema wamepiga kura ya uchaguzi wa mwenyekiti??
Toka nazaliwa hadi sasa nakaribia kupata mjukuu sijwahi sikia Chadema wanauchaguzi wa mwenyekiti
Chama cha familia hicho
yaani nyie machawa wa chadema hamjitambui
Kama wewe sio mhusika huo uchaguzi utaujuaje?.Inaonekana bado mtoto kwasababu hakuna chama ambacho hakifanyi uchaguzi.kama hukusikia maana yake hayakuhusu.
 
Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu.

Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia nafasi ya Uongozi kwenye chama chake Cha ACT Wazalendo.

Upi mtazamo wako kuhusu hoja hii ya Hando?
Hando naye mtamuita influencer kama Dotto Magari, mpuzi mwingine anayesafiria nyota ya Maulid Kitenge
 
Malengo ya Wazanzibar NI kuchukuwa Dola ya Zanzibar hawana mpango na Tanganyika wala hakuna fund wataleta Tanganyika.

Zitto NI mwanasiasa opportunist tayari amehakikishiwa ubunge kwahiyo akili yake na nguvu zake NI Kigoma, hataki madaraka yatakayomlazimu kuzunguka nchi nazima wakati Chama chenyewe kipo Zanzibar na Kigoma tu.
Zito ni mtiifu kwa ccm kwahiyo ccm wanamzawadia kuwa chama kikuu cha upinzani chadema wanaondolewa kwenye hiyo ramani
Nasema wanamzawadia kwa kuwa wao ndiyo huamua nani ashinde wapi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu.

Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia nafasi ya Uongozi kwenye chama chake Cha ACT Wazalendo.

Upi mtazamo wako kuhusu hoja hii ya Hando?
Kwani huyo mwenyekiti wetu amemkalia yeye?
 
Back
Top Bottom