PreGE2025 Gerson Msigwa azomewa UDOM. Aambiwa No Reforms No election. Atoa vitisho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Vijana waliomzomea Katibu Mkuu Wizara ya Habari Mheshimiwa Gerson Msigwa, Je, waliozomzomea pale UDOM wanaweza kufukuzwa Chuo?

No2HooliganismONcampus

*University by-laws ziheshimiwe na wanachuo. Wachukuliwe hatua stahiki.


View attachment 3360476
Chini ya serikali ya watekaji chochote kinawezekana ingawa hawana kosa lolote
 
Hiii comment ilibid iwe na uzi kabisa mkuuu
 
Yaani waziri wa fedha anakopa fedha na anakebehi bunge halafu tukae tusiseme???
 
NRNE
 
Wewe unajua wanataka nini?
 
Hivyo ni vitu vidogo ambavyo havipo hata kwenye by-laws ila sasa Tanzania tunachukulia mambo ya usiriasi mno, sitashangaa wakifukuzwa chuo
 
Sina uhakika kama upo sahihi, kwanza chama tawala ndio upeleka siasa mashuleni, vyuoni waache hii tabia, kwani kupeleka siasa huko si lazima kukibalika, matokeo mtaanza kushughulika na watoto wetu, watadhurika tu na nguvu zenu nyingi!
 
Kwanini mnawaita wasiojulikana?
Hapo nyuma kabla Gwajima hajaja kuongea na watanzania tulkua tunahs ni watu wasiojulikana but tangu Gwajima aongee vile na ashambuliwe now tushawafahamu…Ni watu wanaripot ikulu moja kwa moja.
 
Hapo nyuma kabla Gwajima hajaja kuongea na watanzania tulkua tunahs ni watu wasiojulikana but tangu Gwajima aongee vile na ashambuliwe now tushawafahamu…Ni watu wanaripot ikulu moja kwa moja.
Sasa baada ya kujua, umeamuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…