Gerson Msigwa, Chato hakuna Ikulu

Uongo......

Ikulu ni makazi ambayo yaatajwa rasmi kuwa ni makazi ya Rais

Ndiyo maana tunaambiwa kuwa Ikulu ipo Magogogoni-Dar-es-salaam, Chamwino-Dodoma na kila makao makuu ya kila mkoa.

Je Chato ni mji mkuu wa Mkoa gani??
Tafsiri za Ikulu Ni tatu moja majengo ingine ofisi au combination of both inategemea tafsiri yako ukitafsiri Ikulu Kama ofisi ya Raisi ni popote anapokuwa Raisi ukitafsiri Ikulu Kama majengo Ni pale yalipo majengo ya Ikulu ukitafsiri combination ya both ofisi na majengo ni kuwa Hapo ofisi ya Raisi na majengo vyote vipo.kwa pamoja
 
Sawasawa kwenu lolote linawezakana sijui ile gharama iliyotumika kujenga Ikulu Dodoma yaweza kuwa matumizi mabaya ya fedha za umma kwa sababu Ikulu zmetapakaa nchi nzima sasa cjui mnatuambiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani wewe mkuu unaishi nchi gani. Mimi naona mnahangaika na trivial things.

Mnaonekana mnataka kuwa walimzi wa mkuu wa nchi. Kwanini msikazane kunawa mikono na masharti mengine ili kujilinda na Corona.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unachotaka nini?? Ok sasa yupo Chato...WHO wamekutuma nini?
 
Kwa hiyo kama wameoa kwa msigwa msigwa afumbie macho uovu unaoendelea kisa tu mtu kaolewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani we mkuu unaishi nchi gani. Mi naona mnahangaika na trivial things.
Manaonekana mnataka kuwa walimzi wa mkuu wa nchi. Kwanini msikazane kunawa mikono na masharti mengine ili kujilinda na Corona.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi una akili zinazofanya kazi vizuri. Tatizo unawajibu watu wenye Stress...posho zimerejeshwa
 
Kama mke wake hayupo chato unataka Nini? Watu wanaenda mission six months and over bila kusex wewe unaleta maswali ya ajabu!

Hata ungeambiwa yupo huko yawezekana ungeuliza Kama wanasex au vipi, maana yake maswali yako hayaendani na kiumbe anayeitwa mwanaume.

Upuuzi kabisa[emoji706][emoji706][emoji706]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee! Hivi umeusoma na kuutafakari ugoro uliouandika hapa?
 

Anaweza kuwa huko kwa gharama za Msigwa.
Kwani Msigwa halipwi mshahara mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…