Gerson Msigwa, Chato hakuna Ikulu

Mkuu ulikuwa na point ila dah soma tena ulichoandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipo Raisi na ofisi yake ipo hapo aweza idhinisha chochote au toa tamio au teua nk mentality ya kudhani ofisi ya Raisi ni jengo lililo mahali Fulani sio sahihi
Pamoja na hilo tuamhieni kwa nini Rais amejifungia Chato kwa zaidi ya siku 50 sasa.
 
Hili wala sijapinga, nimesema tu kwa upole kabisa kuwa kumbe ni rahisi sana kuhama kutoka Dar kwenda Dodoma, why watu walikua wanashindwa miaka yote hio? Hongera sana
Hana akili ya kuweza kupata tafsiri ya maneno yako haya. Umeyaweka katika kipimo cha akili asichoweza kukielewa, uwe na huruma Elli Mshana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tulia kwanza kisha usome ulichoandika. Ulimaanisha nini hasa??

Hapa hatuko kujadili watu na makabila yao wala utamaduni wao. Hata wewe hatupambani na wewe bali hoja zako japokuwa wakati mwingine unajitoa ufahamu.

Tatizo kubwa lililoko ambalo hata wewe mwenyewe hulijui na tulio wengi tunajiuliza ni kwamba Rais yuko likizo nyumbani kwao Chato au yuko ziarani kikazi huko Chato au kahamishia makazi yake kwa muda usiojulikana huko Chato??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Km unamuonea wivu mke wa msigwa kaolewe wewe!

Afu unaonekana mtu mzima una sound km kubwa jinga hivi
 
Hivi Yule Mwenyekiti wa Manunda @ Saccos akiwa Dodoma na Arusha na nyumba ndogo mkewe anakua chumba hicho hicho na wewe unakuwa mlangoni kama mlinzi
 
Unamshangaa Magufuli wakati tuna kamanda anaongoza chama kwa Whatsapp na Youtube huko Ubelgiji?
Jimbo alilitelekeza miaka miwili wakati akizurura Marekani.
Kumbe anaongoza chama???? Vipi Lipumba anaongozaje chama? Dovutwa je?? Lyemba.....??

Ndio maana kuna kuhama vyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…