ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
News correspondents ndio hufanya hivyo. Unataka kutwambia Msigwa hajawahi kuandika barua akiwa yuko Wilaya nyengine nje ya Chato, Dodoma au Dar. Hatujawahi kuona kaandika Bukoba au Morogoro!Wadau huo ni utaratibu wa kutoa communique popote duniani, ukiangalia address ni ya makao makuu ya Rais/nchi kwa sasa (hiyo ndiyo formal address kwa sasa), bali chini lazima barua ionyeshe ilipoandikiwa/ maamuzi yalipofanyika kwa wakati huo.(yaweza kuwa Katavi, Babati, Mtwara etc) .
Weka hicho kifungu hapa.Kumbe huwa tunabishana na wajinga! Kwahiyo Katiba iliyo fanunua ikulu ni nini haina maana? Silly mind!
Naona watu wengi humu ni watoto hawajui kwamba Nyerere akiwa rais kuna maamuzi alikuwa anafanya msasani na mengine akiwa Butiama
Acha chuki na wivu, kwani Chato si Tanzania. Rais Magufuli ana mamlaka ya kumkaribisha mgeni wake mkoa wowote ndani ya Tanzania.Kuna upuuzi wa kustaajabisha sana unaoendelea ndani ya hii Serikali haramu huku usalama wa JIWE used to be known usalama wa Taifa ukiwa kimya kabisa. Mambo yanafanyika kienyeji kienyeji tu na yanagharimu trillions za walipa kodi bila idhini ya Bunge.
Chato ni ukulu ndogo kiserkali kama ilivyo msoga, butiama ,lushoto na maeneo yote wanayochagua kuishi maisha yao yote marais wastafu hujengwa kwa ajiri ya baadae kuwa ikulu ndogo .umewahi kufika msoga
Hizo gaharama zote zipo kama kawaida sema kama unaona wivu kagombee na wewe uwe rais ujengewe kwenu
Acha chuki na wivu, kwani Chato si Tanzania. Rais Magufuli ana mamlaka ya kumkaribisha mgeni wake mkoa wowote ndani ya Tanzania
Wivu tu, kila zama na kitabu chake. Kwanini Mwalimu, Mkapa na Kikwete hawakujenga flyover yoyote nchini ? Kwanini hawakujenga SGR na kuleta treni za umeme au kwanini hawakufanikiwa kuamishia serikali Dodoma? Kwa nini hawakujenga Stiegler Gorge.Acha ujinga wewe! Kwanini Mwalimu, Mkapa, Kikwete hawakufanya huu upuuzi unaopigia debe? Watanzania wapuuzi kama wewe ni tatizo kubwa sana Nchini.
Wivu tu, kila zama na kitabu chake. Kwanini Mwalimu, Mkapa na Kikwete hawakujenga flyover yoyote nchini ? Kwanini hawakujenga SGR na kuleta treni za umeme au kwanini hawakufanikiwa kuamishia serikali Dodoma ? Kwa nini hawakujenga Stiegler Gorge. Magufuli ameonyesha uthubutu, hakuna sababu ya kufananisha uongozi wake wa sasa na waliopita Magufuli anonyesha kujiamini na kuthubutu kuleta viongozi kijijini Tanzania karibu na alipokulia na sio huko mjini. Huyu ni mzalendo, anaipenda Tanzania na anatukumbusha kupenda tulipotoka na kujiamini, sio kukimbila tu mjini ukiachana na chuki na wivu utaona hayo