SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,016
- 13,780
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema inachukiwa na watu wa KilimanjaroChato naona ndio sehemu inayochukiwa zaidi na Watanzania wengi, ila inapendwa Sana Mtanzania mmoja tu anayetaka Chato kuwe mbinguni
Umeona ehh... Turudi kwa yanayoendelea ChatoCorona kugonjwa kadoogo
Naona mke atakuwa Geita mjini amepangiwa sehemu!..kodi ni zetu mzee baba!Umeona ehh... Turudi kwa yanayoendelea Chato
Mkuu hongera kwa kujaribu kuwa mkweli kuliko hawa wanaopororokaPamoja na hayo ,kwenye hiyo baua hakuna sehemu imeandikwa ikulu ya Chato,ki uandishi yuko sahiihi kabisa kwani kaandika cheo chake na chini kaandika Chato ikimaanisha wakati analipoti tukio alikuwa eneo la Chato hiyo
Huu sii ndio ufisadi wenyewe Sasa?Naona mke atakuwa geita mjini amepangiwa sehemu!..kodi ni zetu mzee baba!
Kaka tuchati😊Huu sii ndio ufisadi wenyewe Sasa?
Kaka Tuchati
Kwa rijali miezi miwili ni mingi Sana, au anawekewa Mafuta ya taa kwenye msosi?
NanukuuMsigwa ni msanii tu anaendana na midundo ya JIWE kumfurahisha.
Uongo......Ikulu Ni ofisii ya Raisi sio jengo .ofisi ya Raisi inaweza kuwa hata kwenye hema au gari au laptop
Amesaini kwamba Yuko Chato. Je unataka kutuambia kuwa amedanganya?Wewe umejuaje Msigwa yupo Chato, kwani kutengeneza press release lazima uwe pembeni ya Rais?
Alipo Raisi na ofisi yake ipo hapo aweza idhinisha chochote au toa tamio au teua nk mentality ya kudhani ofisi ya Raisi ni jengo lililo mahali Fulani sio sahihi
This is very low and very childish.Yeye Magufuli huko Yuko na mkewe na anapata huduma za kinyumba Kama kawaida. Vipi Msigwa huduma za kinyumba anapatia wapi, maana ana muda mrefu Sana huko, au naye mke wake Yuko huko?
Kama mke wa Msigwa Yuko huko kwa muda wote was miezi miwili, je Yuko huko kwa gharama za Nani?
Kama ni gharama za serikali je hayo ni matumizi sahihi ya fedha zetu?
Kama Msigwa huko Yuko mwenyewe je huo sio ukiukwaji wa haki za binadamu kwa kukandamiza haki ya kupata burudani kwa mama Msigwa na Msigwa mwenyewe?
Vipi kuhusu watoto nyumbani, nao si wana haki ya kupata mapenzi ya baba na Mama?
BAK, Pascal Mayalla na Mshana Jr, Salary Slip , Bia yetu, jingalao, Retired, Naombeni mnisaidie majibu
Makabila mengine ndio maana umasikini umewajaa hawapendani Sasa hebu fikiria hiyo taarifa kaito Gershoni Msigwa wa Ikulu na anatoka kimoja na Msigwa mbungeNilikuwa najiuliza pia hili. .
What about your post?This is very low and very childish.
Sasa kwa nini alikomaa kuhamia Dodoma wakati angeweza kufanyia shughuli zake popote? Au zabibu?Alipo Raisi na ofisi yake ipo hapo aweza idhinisha chochote au toa tamio au teua nk mentality ya kudhani ofisi ya Raisi ni jengo lililo mahali Fulani sio sahihi