Gerson Msigwa: Hakuna uvamizi uliofanyika katika Ofisi za JamiiForums

Nchi ya kipumbavu sana hii.
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania ameabdika hayo kupitia ukurasa wake rasmi wa X:

"Hakuna uvamizi uliofanyika katika ofisi za Jamii Forums. Kilichotokea ni utaratibu wa kawaida wa mawasiliano kati ya Mamlaka za Serikali na wadau wake ambapo leo Maafisa wa Serikali walikwenda kuwasilisha barua ya wito kwa Jamii Forums. Ndugu Maxence Melo usilete taharuki isiyo na sababu za msingi, toa ushirikiano."

​
 
Barua siku hizi inawasilishwa na maafisa?, kazi ya posta ni nini?
Na kwanini iwasilishwe siku ya mapumziko
 
Wanawasilisha siku ya maulidi?.si ni siku ofice zimefungwa au?
 
Wito siku ya maulid sheikh?
Au ni wito wa cha mtume tuje sisi kukifinya
Nyeupe 3 za mashee nyama nyingii
 
Maxence usicheke na hao kenge Wala usikubali wakupande kichwani
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri
 
Aiseee wameshindwa kupenyeza watu wao wawape siri hadi wamdake mhusika?
 
Nilijua tu!

Wajinga hawaishi .

Halafu alivyo hana aibu anadanganya huku akiwa amewasha VPN katika mtandao walioufunga wao wakidai hauna maadili umejaa maudhui ya ngono .
 


Ushirikiano wanao utaka ni kumuomba atoe habari za watu kitu ambacho alikuwa smart database iko nje na yeye hawezi kutoa habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…