Gerson Msigwa: Hakuna uvamizi uliofanyika katika Ofisi za JamiiForums

Hiyo barua ilikuwa kuuuuubwa sana mpaka ipelekwe na watu kadhaa?
 
Jamii Forum iwazuie members wote wanaomtukana rais. Hawatasumbuliwa , la sivyo...
Siku hizi kusema ukweli mchungu kuhusu rais, ni kumtukana. Hata hivyo wakifunga jf kwakuwa hawana ubavu wa kuvumilia ukweli, basi tutahamia hata Kenya talk kufunguka tukiwa huko.
 
Moja ya kundi linalotuangusha sana hapa Tanzania ni wachawi

Hivi wanashindwaje kuwaroga watu kama akina Msigwa

Au wenzetu wananufaika na utawala wa CCM?
Kabisa sijui wanafeli wapi?
Wakati kuna wengine mpaka wanasomeana ahlu l badri wanakufa wanatengezeana Ajali.
wanashindwaje kwa hawa wengine wepesi wepesi tu.
 
Humu ndani shida tunaweza kuongea tu tukiwa nyuma ya keyboard

Ifike kahala tufanye maamuzi sahihi
Jf ndo jukwaa pekee ambalo linapost habari nyingi ambazo mamlaka haipendi sasa lazma tuwaoneshe kwa vitendo kuwa hatuwaogopi serikali na kufanya hivyo ni kumlinda mwanzilishi jf
 
Siku hizi kusema ukweli mchungu kuhusu rais, ni kumtukana. Hata hivyo wakifunga jf kwakuwa hawana ubavu wa kuvumilia ukweli, basi tutahamia hata Kenya talk kufunguka tukiwa huko.
Kabisa
 
Atoe ushirikiano gani sasa? Au wanataka email za wadau humu ili waunganishe na NIDA, driving lisence, NHIF, Bank nk ili wanase watu muhimu wakosoaji?
 
Uandishi wa taarifa umekaa kishari shari!
 
Tupatie link rafiki🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…