Gerson Msigwa: Hakuna uvamizi uliofanyika katika Ofisi za JamiiForums

Leo si sikukuu na hata hivyo kuhusu barua,si kuna watu wa posta huhusika?
 
Maxence kuwa careful serikali ya sasa sio rafiki usimwamini mtu….kwani serikali haina utaratibu wa kumjulisha mtu Kama wanavisit Kabla ya kwenda kumuona??? Mtaibuka vipi office ya mtu Kama mizuka wapumbavu nyie…
 
Huitaji kuwa mwanasayansi mtafiti ili kujua nani wa kumwamini... Msema uongo husahau mambo ya msingi. Kwa mfano leo ni siku ya mapumziko. Kisheria watumishi wa Serikali hupumzika na rejista za kiofisi hufungwa.

Hiyo barua itaonesha imesajiliwa lini?
Kazi kweli kweli
 

JE, NA MIMI NI MODERATOR? JIFUNZE KUWA GT NA kujiongeza ki fikra sio kurupuka tu nawe upae.. hawujui uliza wajuao ujifunze/
tiki njema


 
Ushirikiano gani na majizi na mafisadi? Hizo server za jamii forum zipo Marekani hata Tanzania hazipo alishindwa Magufuli ije iwe kwa Samia ?
 
Bora angekaa kimyaaa
 
Jamii Forum iwazuie members wote wanaomtukana rais. Hawatasumbuliwa , la sivyo...

Nani anayetukana? Kutukana ni makosa makubwa sana. Jamii yetu haiko hivyo.

Lakini pia, kuzuia watu kutoa hoja nayo sio nzuri pia. Inatengeneza kukosa uwajibikaji
 
Max ulikuwa na uwezo wa kuwaumbua hawa vibwengo kwa ku elezea kilichotokea na kwenda mbali hata ku release cctv footage. Sasa umekaa kuficha ficha mara nitaelezea kiundani hapo baadae Sasa umewapa loophole wajisafishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…