Gerson Msigwa kubali makosa. Tulipaswa kuwa na Aerial Cranes hata nne. Mnanunua mashangingi mnasahau vifaa vya kuokolea kwenye majanga

Okay hata kama tunazo risk assessment yenyewe ingechukua si chini ya one hour. Ungekuwa unakwenda kubeba maiti na sio kuokoa watu!
Hivi Nyie wakubwa zetu mnaelewa tunachosema ...Hatuwezi kuwa na Rescue Team moja nchi yote ...ndio tunawaambia ccm na viongozi wake waigawe nchi kwny majimbo haya mandege yagawiwe kikanda ....

Yaani Personels wote wa majanga kukaa Dar tu hakuna faida...

Na hata haya mamisalaba mekundu hamna kitu kabisa ,,Bora hata hizi bajaji za Msalaba za kubeba wagonjwa hospital Zina faida..
 
Inaonesha huna knowledge ya engineering, unawaza kama layman tu...

Mtu anayewaza kwamba ndege ile ingenyanyuliwa chap, hana tofauti na yule aliyeamua kuanza kuivuta pasipo kujua hali ya watu waliopo ndani ikoje...
Kwhy mkuu yupi ana afadhali kwenye ubongo Kati ya hao wawili😂😂Midume inahangaika kutoa ghofu ndani ya maji badala ya kuokoa uhai wa watu Kwanza...
 
Nimegundua humu JF wengi wasiomuelewa braza Pascal Mayalla wana akili ndogo za kushindwa kuchanganua akili kubwa ya Bro,

Uwasilishaji wake wa Hoja yaani anakupa jibu kwa njia ya fumbo ili yeye abaki salama na wewe kama unazo akili uelewe kisha ukafanyie kazi huko pembeni sio kurudi kwake tena,

Mtoa mada ulisema zinunuliwe Helcopta za Uokozi Braza Pasco akakujibu zipo tena nne ila zimepaki sehemu zikisubiri tukio kusudiwa ndio zitumike,

ukahoji kwanini hazikwenda Bukoba akakujibu ni lazima Amri itoke lakini akasisitiza lile sio tukio kusudiwa la Helcopta zile kununuliwa ama kutumika bali lina tukio lake..... Nitaishia hapo japo yapo mengi ameyaweka kiakili kubwa kiasi kwamba ukitumia mihemko kumsoma utahisi anazingua ila kuna kitu anakupa kisha wewe endelea kutafuta jibu lako zaidi,

Bro Pasco hongera sana hakika wewe ni Mwanahabari mbobevu akili ndogo haiwezi kukuelewa ila akili kubwa tunakuelewa sana.
 
Msingwa siyo technical personnel na hana uwezo mkubwa wa ku reason hata hivyo yeye anapokea na kutoa yale ambayo exactly ameelewa hana uwezo wa kufanya analytical thinking na kuhoji au kupata uelewa kutoka kwa information feeder wake, so ameeleza vile comma of thinking yake ilipoishia.
 
It is high time the current dark politics in Tanzania is screwed up and the regime administration overhauled to offset the systematic mishaps to save treasury loss for irrelevant expenditures while areas of the nation's interests are deliberately overridden due to selfishness by a few power-clinging bigwigs thus causing the innocent citizens negligently perishing.

The idea you have spelt out is super and for the keen government it could buy a leaf to address the prevailing mess.
 
Cc Pascal Mayalla
 
Usipende kutetea mambo ya hovyo Mayala.
 
Mwananchi atafikiriwa zaidi pale tu anapohitajika kutozwa kodi zisizo na hesabu wala idadi.
 
Kuna watu wajinga ila nadhani wewe umezidi. Eti chopa tunazo nne na zimepaki mahali kusubiri tukio kusudiwa kwa matumizi kusudiwa! Imagine! Kwa hiyo hiyo ajali haikuwa tukio kusudiwa? Unaelewa maana ya emergency? Kupeperusha matokeo ya sensa ndiyo matumizi sahihi? Ajali ngapi zilishatokea? Mv Bukoba, Mv Spice Islander n.k ina maana kila ajali kauli zitakuwa hizo hizo kwamba ni shamba darasa na watu wanapoteza maisha?
 
naunga mkono hoja ni wazo nzui na kwa nchi yetu linawezekana sana tatizo hatuna mikakati ya maksudi ya kutatua mataizo ya namna hiyo.wabunge wetu wanapenda starehe badala ya kusaidia wananchi.
 
Hizo zinatakiwa zipatikane kama sita kwa tahadhari, moja Zanzibar, moja ukanda wa kuanzia Tanga hadi mtwara, nyingine ziwa tanganyika, nyingine ziwa Victoria, na nyingine ziwa nyasa kwa tahadhari na ziwe standby muda wote na ziwe chini ya jeshi,
 
JF bwana yaani kwenye hiyo paragraph ya mwisho ndio nimeandika mimi lakini siwezi kusoma nilichoandika. Ila hiyo post nimekulw likes.

Kasheshe naweza kuona post nikajaribu kuwa very analytical, trying to give a view point halafu kwenye hiyo post sipati ata like salaleh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…