Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,403
- 5,315
Hivi Nyie wakubwa zetu mnaelewa tunachosema ...Hatuwezi kuwa na Rescue Team moja nchi yote ...ndio tunawaambia ccm na viongozi wake waigawe nchi kwny majimbo haya mandege yagawiwe kikanda ....Okay hata kama tunazo risk assessment yenyewe ingechukua si chini ya one hour. Ungekuwa unakwenda kubeba maiti na sio kuokoa watu!
Yaani Personels wote wa majanga kukaa Dar tu hakuna faida...
Na hata haya mamisalaba mekundu hamna kitu kabisa ,,Bora hata hizi bajaji za Msalaba za kubeba wagonjwa hospital Zina faida..