Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

UFAFANUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.

Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Haya sasa wale wa hassa abbas afukiswe kazi.
 
UFAFANUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.

Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Wanachadema muwe na subira
image_search_1617807536656.jpg
 
Kwahio waliomsikia ni Msigwa na Abbas peke yao? Magazeti yote leo Tanzania yameripoti tofauti na Abas na huyu Msigwa. Wallah CCM ni ile ile
Magazeti lisening skills zero .Raisi alitamks kabisa TV za mitandaoni wao hilo la magazeti walilitoa wapi? nenda youtube hotuba nzima ya Raisi imo alitaja online Tv tu
 
Ndio safari ishaanza hivyo!! Mbele Kwa Mbele tutaelewa tu safari inakotakiwa ifike!!

Acha Kwa sasa Kwa kuwa ni Mwanzo wa safari, kujikwaa kumo, lakini huko tuendako panafurahisha zaidi
 
I have taken a U-turn, kama huyu mama anasema ni viji Tv vya mikononi na si magazeti ndivyo vifunguliwe, basi tuna hasara tupu. Hamna kitu hapa CCM ni ile ile.

Tujiandae mwendo wa watu wasiojulikanana kurudi, mauaji, kupotea watu etc etc, kila mabaya ya Jiwe yako pale pale!

Kigogo ameonya kuwa haya makelel ya kushangilia mtalia very soon!
 
Msemaji wa serikali ametoa ufafanuzi kwamba kilichofunguliwa ni online TV na si Magazeti. Hi kauli Msigwa anadai imetoka kwa Mhe. Rais.

Mwenyekiti wa wazazi Wa ccm ametoka adharani nakusema Mhe. Rais apangiwi kuhusu katiba mpya. Maana ya kauli hii nimsimamo wa chama kuwa hakuna katiba mpya

Lakini haya yanatufundisha Nini? Endapo utahutubia Taifa watu wakakupongeza lakini viongoz wachache wanaokula mema ya nchi wakakasurika basi tambua Tanzania si ya Watanzania Tena Bali ni nchi ya watu wachache.

Hii trend imeturejesha kwenye maumivu Yale Yale, lakini pia mkinzano huu wa kauli una athari kwenye uchumi maana Kama ndani kwa wananchi ahadi zinabadilika je kwa wageni itakuwaje? Tusipothibiti hii Hali upo uwezekano wanaoitwa wawekezaji kuja nakuhamisha rasilimali zetu kuzipokeleka huko walipotoka. Tusicheze na mind za wananchi tutaliyumbisha Taifa, tutatengeneza wapigaji na kuondoa wazalendo
 
Back
Top Bottom