Huyu mama atakuwa na mwanae au ndugu zake wana hizo blogs sio bure, nini mantiki ya kufungulia blogs halafu magazeti ayaache? huyu Rais ni empty, nilidhani amekosea bahati mbaya kwenye lile sakata la uteuzi wa mkurugenzi shirika la mafuta, sasa na leo tena amethibitisha hakuna kitu pale, nyie mliokuwa mnaimba mapambio jana tu naamini mmeshaanza kuisoma namba sasa, au mkipenda kuendelea kuota, ok.
Yaani bila Katiba Mpya ni kwenda hatua moja mbele, then kurudi tatu nyuma, halafu tunashangilia. Rais ana upendeleo.