Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

UFAFANUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.

Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Yaani kukalia tu kiti cha Abbas nae amekuwa na akili fichu.
 
tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe ha ha ha ha ha ha ha ha h a tusemeni tu , oyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Kama manyoka akina Abbas yapo basi hakuna jipya sasa nimewaelewa vizuri wale wanaosema ni suala la muda tu umagufuli utaendelea kama kawaida
Tuendelee na maombi sababu mwenye dhambi hana raha!
 
UFAFANUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.

Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Barua aliyopewa Msigwa kutoka ofisi ya Rais inayoelezea jambo hilo iko wapi ?
 
Kupitia akaunti rasmi ya twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa ametoa ufafanuzi kuwa ni televisheni za mtandaoni (online TV) pekee ndizo zilizopata rehema ya kufunguliwa kutoka korokoroni. Taarifa hiyo imetolewa leo tarehe 07 Aprili 2021 saa 11:33 jioni. Ufafanuzi huo umekuja baada ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dr. Hassan Abass kueleza kuwa hajapata maelekezo ya kufungulia magazeti yaliyofungwa. Taarifa hiyo iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali inaeleza ifuatavyo;

UFAFANUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.
Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali

Hata hivyo taarifa hiyo imezalisha utata mwingine unaohitaji ufafanuzi kuwa televisheni za mtandaoni zinazotakiwa kufunguliwa zilifungwa kwa mujibu wa sheria au la.
Screen Shot 2021-04-07 at 6.41.45 PM.png
 
kwani Msigwa boss wake nani?? ukipata jibu hapo tu basi hakuna haja ya kushangaa tena
 
Sasa washushe bundle hizi bado zipo juu sana...... Smartphone zipo advanced sana kwa sasa na zinademand matumizi makubwa ya data...... K

Hivi ni nani alieanzisha hoja ya kupandisha vifurushi bei mbwa huyo..... Matako yake....
 
UFAFANUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.

Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Dawa tudai katiba mpya kwa nguvu zote ila ipo siku tu tutafanikiwa na CCm wataondoka madarakani
 
Abbas kamshawishi Msigwa ili ionekane yupo sahihi. Mama hizi takataka za JMP zote ondoa Ikulu. Ondoa hadi Wapishi, Wafagiaji, wapiga pasi na Wakata maua. Hata waosha vyombo wa JPM ondoa. Wana viburi sanaaa.
 
UFAFANUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.

Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Ile clip wakati Mh Rais Mama SSH anazungumza alisema vijiTV lakini hakusema TU.
 
Back
Top Bottom