Gerson Msigwa, Rais Samia angekuwa na uchungu na wananchi asingekubali tozo na maisha kuwa ghali namna hii

Gerson Msigwa, Rais Samia angekuwa na uchungu na wananchi asingekubali tozo na maisha kuwa ghali namna hii

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Vyakula vimepanda bei.

Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali

Maisha yamekuwa ghali.

Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.

Sasa unaleta porojo!
👇
Screenshot_20220814-175954.jpg
 
Bila tozo pesa itatoka wapi!?..umejishughulisha kujua vyakula kupanda Bei inatokana na nini?!..au una mentality ya mbwa kubweka kila akisikia kishindo!?
 
Kuhusu nafaka kuuzwa nje,mi namuunga mkono,unataka ziuzwe ndani ili Mimi mkulima niuze gunia la mahindi 15000?!
Wananchi acheni roho mbaya na wivu,au Kama mnataka na nyinyi kalimeni!

Kwenye suala la TOZO nakuunga mkono,Mama anabutua.
 
Kuhusu nafaka siku ukinunua Unga Tsh 2000 per kg ndio utajua madhara ya kuuza nafaka nje hovyo.
 
Kuhusu nafaka siku ukinunua Unga Tsh 2000 per kg ndio utajua madhara ya kuuza nafaka nje hovyo.
Mkuu Mimi ni mtoto wa mkulima hivyo natamani bei ya unga ingekuwa hata 6000 per kg ili walau mzee wangu ajifute machozi ya gharama za pembejeo na mbolea.
Kama nafaka Ni ghari nenda Katavi ufyeke pori nawewe ULIME.
 
Ili wananchi wa kipato cha chini waumie?
 
Wananchi wa kipato Cha chini si ndo wakulima mkuu?
Au hujui Tanzania hatuna jobless,wananchi wote wa kipato Cha chini ni wakulima,na ndiyo wanaohudhuria maonesho ya 88 kwa wingi ili kuoneshwa mbegu na wafanyabiashara🤣
Umeishia la ngapi?
 
Tozo zisizo na kichwa wala miguu? Kama Tozo ya miamala.
Maana yake hufuatilii Mambo,Mambo ya tozo huwa ngumu kuyaelewa hata Einstein alisema kitu kigumu kukielewa kuliko vyote ni income tax...wakiweka tozo we lipa tu,maana yake kapu halina kitu
 
Back
Top Bottom