Gerson Msigwa, Rais Samia angekuwa na uchungu na wananchi asingekubali tozo na maisha kuwa ghali namna hii

Gerson Msigwa, Rais Samia angekuwa na uchungu na wananchi asingekubali tozo na maisha kuwa ghali namna hii

Vyakula vimepanda bei.

Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali

Maisha yamekuwa ghali.

Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.

Sasa unaleta porojo!
👇
View attachment 2323732
Nenda kalime Ili upate ka Bei ya chini..

Tozo zipi hizo zinazoumiza wananchi?

Nyie si ndio mlisema haina maana watu kuongezewa 20,000 kwenye salary sasa kuna tozo zipi zinazozidi 20,000?
 
Vyakula vimepanda bei.

Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali

Maisha yamekuwa ghali.

Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.

Sasa unaleta porojo!
[emoji116]
View attachment 2323732
Niko Mbeya leo nimetoka Mikumi.
Nimepanda coaster zilizokodiwa na mashabiki wa Yanga na Simba.
Zinarudisha mashabiki hao Irnga na Mbeya.
Yaani watu wamepagawa kwa ushabiki, hiyo hali ngumu unayoisema ni yako wewe.
Kumbuka hawa ni watu wa kawaida tu wamechangishana mpk wamekodi mabasi kwa starehe zao tu.
Sasa ww endelea kuomboleza Msiba wenu tahamaki umezeeka kwa chuki zako
 
Vyakula vimepanda bei.

Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali

Maisha yamekuwa ghali.

Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.

Sasa unaleta porojo!
👇
View attachment 2323732
Ili useme anayoyasema Gelson Msigwa lazima uizime akili makusudi alafu ujifanye huelewi kinacho endelea ndani ya nchi.
 
Mkuu Mimi ni mtoto wa mkulima hivyo natamani bei ya unga ingekuwa hata 6000 per kg ili walau mzee wangu ajifute machozi ya gharama za pembejeo na mbolea.
Kama nafaka Ni ghari nenda Katavi ufyeke pori nawewe ULIME.
Na juzi serikali imewashushia mbolea bei ya chini walimaji
 
Vyakula vimepanda bei.

Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali

Maisha yamekuwa ghali.

Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.

Sasa unaleta porojo!
[emoji116]
View attachment 2323732
VIONGOZI wa Nchi hii Hawana Uchungu na Wananchi Wananchi wananyonywa HOVYO HOVYO kila kukicha ni KODI Wananchi wajiandae kodi ya Kupanga nyumba
 
Vyakula vimepanda bei.

Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali

Maisha yamekuwa ghali.

Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.

Sasa unaleta porojo!
[emoji116]
View attachment 2323732
Kama hujui kazi ya huyu bwana itakupa shida sana , "' Huyu jamaa kaajiriwa kwa ajili ya kupiga porojo yaani ni proffesional projonist & propagandist wa serikali
 
Kwa kiti ulichokalia msigwa huwezi ona tunacuokiona na unajua
 
Vyakula vimepanda bei.

Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali

Maisha yamekuwa ghali.

Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.

Sasa unaleta porojo!
👇
View attachment 2323732
Hiila huyu jamaa mtaniisamee,mimi huwa namuona mshamba sana yaani bila Magufuli angekuwa kullekule Songea anaripoti TBC.The guy is very primitive!!
 
Mkuu Mimi ni mtoto wa mkulima hivyo natamani bei ya unga ingekuwa hata 6000 per kg ili walau mzee wangu ajifute machozi ya gharama za pembejeo na mbolea.
Kama nafaka Ni ghari nenda Katavi ufyeke pori nawewe ULIME.
Tindo nakujua vizuri. Hii like ni unafiki.
 
Mkuu Mimi ni mtoto wa mkulima hivyo natamani bei ya unga ingekuwa hata 6000 per kg ili walau mzee wangu ajifute machozi ya gharama za pembejeo na mbolea.
Kama nafaka Ni ghari nenda Katavi ufyeke pori nawewe ULIME.
Hivi katika akili yako unajua unga ukiuzwa 6000 mbolea bei itabakia hapo hap, vipi bei ta vitu vingine bei itabakia hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom