Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Unafaa kunyongwa weww Deo SangaBila tozo pesa itatoka wapi!?..umejishughulisha kujua vyakula kupanda Bei inatokana na nini?!..au una mentality ya mbwa kubweka kila akisikia kishindo!?
Mikatuni bana ahaaa
Njoo uninyongeUnafaa kunyongwa weww Deo Sanga
Kuhusu nafaka siku ukinunua Unga Tsh 2000 per kg ndio utajua madhara ya kuuza nafaka nje hovyo.Kuhusu nafaka kuuzwa nje,mi namuunga mkono,unataka ziuzwe ndani ili Mimi mkulima niuze gunia la mahindi 15000?!
Wananchi acheni roho mbaya na wivu,au Kama mnataka na nyinyi kalimeni!
Kwenye suala la TOZO nakuunga mkono,Mama anabutua.
Mkuu Mimi ni mtoto wa mkulima hivyo natamani bei ya unga ingekuwa hata 6000 per kg ili walau mzee wangu ajifute machozi ya gharama za pembejeo na mbolea.Kuhusu nafaka siku ukinunua Unga Tsh 2000 per kg ndio utajua madhara ya kuuza nafaka nje hovyo.
Ili wananchi wa kipato cha chini waumie?Mkuu Mimi ni mtoto wa mkulima hivyo natamani bei ya unga ingekuwa hata 6000 per kg ili walau mzee wangu ajifute machozi ya gharama za pembejeo na mbolea.
Kama nafaka Ni ghari nenda Katavi ufyeke pori nawewe ULIME.
Wananchi wa kipato Cha chini si ndo wakulima mkuu?Ili wananchi wa kipato cha chini waumie?
Tozo zisizo na kichwa wala miguu? Kama Tozo ya miamala.Ungekua umepita shule usingelaumu tozo na Wala usingeshangaa vitu kupanda bei
Umeishia la ngapi?Wananchi wa kipato Cha chini si ndo wakulima mkuu?
Au hujui Tanzania hatuna jobless,wananchi wote wa kipato Cha chini ni wakulima,na ndiyo wanaohudhuria maonesho ya 88 kwa wingi ili kuoneshwa mbegu na wafanyabiashara🤣
Ndo namalizia kuhesabu CHUNGWA LA SABA Sasa,Ila nadhani tutakuwa na machungwa 36.Umeishia la ngapi?
Maana yake hufuatilii Mambo,Mambo ya tozo huwa ngumu kuyaelewa hata Einstein alisema kitu kigumu kukielewa kuliko vyote ni income tax...wakiweka tozo we lipa tu,maana yake kapu halina kituTozo zisizo na kichwa wala miguu? Kama Tozo ya miamala.
Kabla ya tozo Vlikuwa vinateremshwa toka mbinguniBila tozo pesa itatoka wapi!?..umejishughulisha kujua vyakula kupanda Bei inatokana na nini?!..au una mentality ya mbwa kubweka kila akisikia kishindo!?
Gerson Msigwa ni CHAWA..Vyakula vimepanda bei.
Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali
Maisha yamekuwa ghali.
Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.
Sasa unaleta porojo!
👇
View attachment 2323732
Tozo siyo kwa ajili ya chakula,acha kukurupuka dogoKabla ya tozo Vlikuwa vinateremshwa toka mbinguni