The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Nenda kalime Ili upate ka Bei ya chini..Vyakula vimepanda bei.
Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali
Maisha yamekuwa ghali.
Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.
Sasa unaleta porojo!
π
View attachment 2323732
Niko Mbeya leo nimetoka Mikumi.Vyakula vimepanda bei.
Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali
Maisha yamekuwa ghali.
Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.
Sasa unaleta porojo!
[emoji116]
View attachment 2323732
Ndo ukalime na weweKuhusu nafaka siku ukinunua Unga Tsh 2000 per kg ndio utajua madhara ya kuuza nafaka nje hovyo.
Hamuwezi kuelewana, maana wote wawili vipato vyenu vinatofautiana!!Ungekua umepita shule usingelaumu tozo na Wala usingeshangaa vitu kupanda bei
Kuelewa ni suala la fikra siyo kipatoHamuwezi kuelewana, maana wote wawili vipato vyenu vinatofautiana!!
Tuna subiri uchaguzi ndipo tutaona hizo juhudi. Msije tumia dol kama marehemu tuu..Vyakula vimepanda bei.
Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali
Maisha yamekuwa ghali.
Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.
Sasa unaleta porojo!
[emoji116]
View attachment 2323732
Nonsense, wachumia matumbo na majizi tupu. Hamna uchungu wowote na shida za Watanzania..Vyakula vimepanda bei.
Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali
Maisha yamekuwa ghali.
Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.
Sasa unaleta porojo!
π
View attachment 2323732
Umri wangu kwako ni Mara mbili. Soma kwa fasihi ndiyo utaelewaTozo siyo kwa ajili ya chakula,acha kukurupuka dogo
Ili useme anayoyasema Gelson Msigwa lazima uizime akili makusudi alafu ujifanye huelewi kinacho endelea ndani ya nchi.Vyakula vimepanda bei.
Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali
Maisha yamekuwa ghali.
Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.
Sasa unaleta porojo!
π
View attachment 2323732
Hakuna Cha fasihi hapoUmri wangu kwako ni Mara mbili. Soma kwa fasihi ndiyo utaelewa
Ili wananchi wa kipato cha chini waumie?
Na juzi serikali imewashushia mbolea bei ya chini walimajiMkuu Mimi ni mtoto wa mkulima hivyo natamani bei ya unga ingekuwa hata 6000 per kg ili walau mzee wangu ajifute machozi ya gharama za pembejeo na mbolea.
Kama nafaka Ni ghari nenda Katavi ufyeke pori nawewe ULIME.
[emoji205][emoji205][emoji205]View attachment 2323738
VIONGOZI wa Nchi hii Hawana Uchungu na Wananchi Wananchi wananyonywa HOVYO HOVYO kila kukicha ni KODI Wananchi wajiandae kodi ya Kupanga nyumbaVyakula vimepanda bei.
Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali
Maisha yamekuwa ghali.
Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.
Sasa unaleta porojo!
[emoji116]
View attachment 2323732
Kama hujui kazi ya huyu bwana itakupa shida sana , "' Huyu jamaa kaajiriwa kwa ajili ya kupiga porojo yaani ni proffesional projonist & propagandist wa serikaliVyakula vimepanda bei.
Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali
Maisha yamekuwa ghali.
Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.
Sasa unaleta porojo!
[emoji116]
View attachment 2323732
Hiila huyu jamaa mtaniisamee,mimi huwa namuona mshamba sana yaani bila Magufuli angekuwa kullekule Songea anaripoti TBC.The guy is very primitive!!Vyakula vimepanda bei.
Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali
Maisha yamekuwa ghali.
Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.
Sasa unaleta porojo!
π
View attachment 2323732
Hivi katika akili yako unajua unga ukiuzwa 6000 mbolea bei itabakia hapo hap, vipi bei ta vitu vingine bei itabakia hiyo hiyoMkuu Mimi ni mtoto wa mkulima hivyo natamani bei ya unga ingekuwa hata 6000 per kg ili walau mzee wangu ajifute machozi ya gharama za pembejeo na mbolea.
Kama nafaka Ni ghari nenda Katavi ufyeke pori nawewe ULIME.