Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #41
Non senseNiko Mbeya leo nimetoka Mikumi.
Nimepanda coaster zilizokodiwa na mashabiki wa Yanga na Simba.
Zinarudisha mashabiki hao Irnga na Mbeya.
Yaani watu wamepagawa kwa ushabiki, hiyo hali ngumu unayoisema ni yako wewe.
Kumbuka hawa ni watu wa kawaida tu wamechangishana mpk wamekodi mabasi kwa starehe zao tu.
Sasa ww endelea kuomboleza Msiba wenu tahamaki umezeeka kwa chuki zako
Maisha mafupi ukikunjakunja sura utazeeka..Non sense
Nmechoka na hayo makadirio yenu,mahindi yaliwahi kuuzwa tsh 30,000 kwa gunia mwaka Jana Kama sijakosea,unakumbuka mbolea ilikuwa tsh ngap?,mafuta ya kula je yalikuwa tsh ngapi?Hivi katika akili yako unajua unga ukiuzwa 6000 mbolea bei itabakia hapo hap, vipi bei ta vitu vingine bei itabakia hiyo hiyo
Kazi kutafuna kodi zetu tuVyakula vimepanda bei.
Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali
Maisha yamekuwa ghali.
Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.
Sasa unaleta porojo!
π
View attachment 2323732
Ambia mamakoNjoo uninyonge
Yee ni mkulima, chakula anatoa store tuKuhusu nafaka siku ukinunua Unga Tsh 2000 per kg ndio utajua madhara ya kuuza nafaka nje hovyo.
Hajui hata alichoandika kazi kubweka tu kma umbwa wa gettin[emoji205][emoji205][emoji205]View attachment 2323738
Kazi kubwa walionayo ni kusifiaHawa walambishwa asali watasema lolote kumfurahisha aliyewateua..hawaaminiki.
#MaendeleoHayanaChama
Haha mkuu umenikumbusha classmate wangu alikua anaitwa Rashidi .Kama kweli mh halali ni bora awe analala tu.Maana hamna cha maana anachofanya.Tozo ziko juu kuliko nchi zote jirani Africa mashariki na kati.Sasa kama kweli halali kwa nini uchumi unaporomoka kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila watumishi aisee tunakiona Cha Moto..Kodi hiziππYaani nikatwe PAYE, VAT na mengineyo pia Wanikate na ATM withdraw?
Tafuteni vyanzo vya mapato acheni ujinga
Yaani haingii akilini kabisa!Yaani nikatwe PAYE, VAT na mengineyo pia Wanikate na ATM withdraw?
IJP ni Inspekta Jenerali va Polisi ni kiswahili hajakosea kituπππView attachment 2323738
Acha UCHOCHEZI ugumu wa maisha hauletwi na Rais yeyote yule ni wewe tu na uvivu wako.Vyakula vimepanda bei.
Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali
Maisha yamekuwa ghali.
Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.
Sasa unaleta porojo!
[emoji116]
View attachment 2323732
Nenda kalime Tanzania ardhi tele.....Kuhusu nafaka siku ukinunua Unga Tsh 2000 per kg ndio utajua madhara ya kuuza nafaka nje hovyo.
Ukizingatia wao posho na mishahara yao haigusikiHawa walambishwa asali watasema lolote kumfurahisha aliyewateua..hawaaminiki.
#MaendeleoHayanaChama
Nimecheka sanaaNjoo uninyonge