Wakimaliza waanzishe Tv ya Rais SSH itakayokuwa inaonesha mambo ya Rais SSH tuMsemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.
Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.
Source: Clouds tv
Ni jambo jema!Wakimaliza waanzishe Tv ya Rais SSH itakayokuwa inaonesha mambo ya Rais SSH tu
Kuongeza ajiraHii nchi ni ngumu sana kuielewa!!yaani Tv ya taifa ipo na ndio mpiga debe mkuu wa serikali, kuna chaneli ten, mpiga debe wa chama, zote hizo hazitoshi?!!sasa kama ni hivyo kwanini wasiifanye TBC 2, ndio iwe na majukumu hayo?!!
Nami nimeuliza swali kama hili hapo juu mleta mada amekimbia.Nisaidie tofauti ya Taifa na Serikali.
Kwanini umuonyeshe mtawala wakati anafahamika.Taifa ni nchi na watu wake
Serikali ni kikundi cha watawala!
Msigwa HAMNAZOMbona ccm na siri-kali yake tayari wanazo tv, yaani:
Tbc, channel 10, clouds, wasafi..
Nyingine ya nini tena?!!!
Kwa hiyo TV ya Taifa TBC1 ni yetu sisi waTaifa (wananchi), na hiyo nyingine watakayoanzisha ya Serikali itakua ya "Watawala" !!!??Taifa ni nchi na watu wake
Serikali ni kikundi cha watawala!
Maendeleo yanaanzishiwa tv! Maendeleo si yanaonekana tu? Mtoto acha kupiga mayowe, acha watu waone wenyewe....Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.
Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.
Chanzo: Clouds tv
Watawala wanatoza kodi hawalipi kodi!Kwa hiyo TV ya Taifa TBC1 ni yetu sisi waTaifa (wananchi), na hiyo nyingine watakayoanzisha ya Serikali itakua ya "Watawala" !!!??
Sijui hiyo ya Watawala itakua inaonyesha nini kwetu wananchi!!?? Na bado itaendeshwa kwa kodi zetu wananchi? Au hii itatumia kodi zao watawala?
Ianzishwe na channel ya kuonesha mapungufu ya serikali. Wananchi wana haki ya kujua mabaya na mazuriMsemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.
Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.
Chanzo: Clouds tv
Hiyo labda itaanzishwa na Chadema!Ianzishwe na channel ya kuonesha mapungufu ya serikali. Wananchi wana haki ya kujua mabaya na mazuri
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.
Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.
Chanzo: Clouds tv
Nani yatakuwa mhariri?Ianzishwe na channel ya kuonesha mapungufu ya serikali. Wananchi wana haki ya kujua mabaya na mazuri