Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Kumbe TBC ya CCM si ya TaifaMsemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.
Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.
Chanzo: Clouds tv