Gerson Msigwa: Tuko mbioni kuanzisha Televisheni ya Serikali itakayorusha Habari za Maendeleo tu

Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.

Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.

Chanzo: Clouds tv
Waanzishe kipindi hicho ndani ya TBC otherwise is a wastage of scarce resources...
 
Kumbe hela za kula zipo nyingi hivi!
Natamani kuona wanufaika wakipigia chapuo hili dili.
Ongezeni na tozo ya mshikamano tena, hii ya uzalendo haitoshi.
 
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.

Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.

Chanzo: Clouds tv
Habari za maendeleo ndio zipi? Kwa sasa zinarushwa kwa asilimia ngapi TBC?
 
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.

Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.

Chanzo: Clouds tv
Kinyume cha "mambo ya msingi" ni mambo ya hovyo!
TV ya serikali itarusha mambo ya msingi tuu.
TBC, kwa muktadha huu,inarusha mambo ya hovyo!
Yule mlevi wa Meeda afungashe virago vyake.
 
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.

Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.

Chanzo: Clouds tv
Hiyo tiivii mtaingalia wenyewe.
Hii tbccm tu haina mtazamaji itakua hicho kituko mnachotaka kuanzisha?
 
Malengo yao huwaga ni ya kudumu ila ni dhoofu,,
Cjajua mshauri wa hawa wanakamati wapoje
 
Anatuongezea takataka tu,hatuna muda wa kuangalia [emoji706][emoji706]
 
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.

Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.

Chanzo: Clouds tv
TBC bado hamjaweza kuiboresha ki fani achilia mbali maudhui. Sasa mnakuja na nyingine tena. Sana sana mnatafuta njia ya kuhalalisha na kuongeza kodi ya mshikamano tu kwa raia.

Babu wa Loliondo nae ndo huyo kafariki, sijui kikombe tutapiga wapi.

Eeeh! Tusaidie!

Hallelujah!
 
Back
Top Bottom