Kumbe TBC ya CCM si ya TaifaMsemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.
Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.
Chanzo: Clouds tv
Labda youtube TV, ila vinginevyo watumie TBCMsemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.
Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.
Chanzo: Clouds tv
Haitasaidia chochote kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja nimebuni namna ya kuchambua kitakacho tokea mbeleni kwenye ujasiriamali ili kuweza kujipanga. mfanya biashara asipate madhara makubwa kwenye biashara uchambuzi ambao pia taasisi na serikali unatakiwa utumike IPYANA analysis.by Ipyana Benny Haraba. 'Ipyana Analysis will help detect internal and external critical determinants of uncertainty in business, to be unveiled in my book after getting a patentMsemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.
Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.
Chanzo: Clouds tv
Kumbe hata serikali imeona TBC ni TV ya chamaTelevision hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali
Upotevu wa fedha tu.
Hizo gharama za uanzishwaji na uendeshaji ni bora wangezitumia kufanya maendeleo mengineyo
Naona kila anayejua kusema serikalini anataka kuwa na tv stesheni yake mfukoniMsemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.
Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.
Chanzo: Clouds tv
Ina maana serikali imenyimwa airtime na TBCTBC tu siiingalii ndio utakuwa huo upuuzi mpya? Vipi lile somo la historia ya tanzania?
TBC, CHANEL TEN, SAFARI TV zote hizo wamekosa nafasi, ujinga mtupuKwani TBC na CHANEL TEN huwa hawarushi mambo ya msingi? Msigwa hiyo bajeti yakuanzisha Televisheni ingepelekwa kwenye maendeleo moja kwa moja.
Wanataka kuinusuru TBC? maana TBC ni ya umma sio ya serikali wala ccmMsemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.
Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.
Chanzo: Clouds tv
Hayo maswali uliyouliza hata mimi nimejiuliza sana na sijapata majibu mpaka sasa na sidhani kama nitayapata.Hii nchi ni ngumu sana kuielewa!!yaani Tv ya taifa ipo na ndio mpiga debe mkuu wa serikali, kuna chaneli ten, mpiga debe wa chama, zote hizo hazitoshi?!!sasa kama ni hivyo kwanini wasiifanye TBC 2, ndio iwe na majukumu hayo?!!
CCM ni failure wakubaa sana katika swala zima la kuchagua na kupanga vipaumbele vya nchi.Ukiona hivyo ujue hilo wazo na fedha zilitolewa kipindi kile cha Kayafa Jiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Brilliant!!!maendeleo ya nchi hayatangazwi yanajitangaza yenyewe
Hii nchi ina viongozi wajinga snMsemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.
Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.
Chanzo: Clouds tv
TBC wameiua mwenyewe kwa mikono yaoWameipotezea mvuto TBC ndio wanategemea wataanzisha nyingine ipate mvuto? Hata hivyo hiyo ahadi ni porojo kama porojo nyingine.
Wameshindwa nini kutengeneza TBC 3Ukiona hivyo ujue hilo wazo na fedha zilitolewa kipindi kile cha Kayafa Jiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyi TV imefariki hata kabla ya kuanza.Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.
Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.
Chanzo: Clouds tv