ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
My Take
Naunga mkono hayo maono na Mawazo ya bwana Msigwa.
Kwa kuwa kama Nchi tunatekeleza vision 2050 ya kuwa na Uchumi wa Trilioni 2,500 ($1T) Sina shaka kwamba uchumi huo ni mkubwa sana kama tutafikia hata nusu yake tuu manake tutakuwa kama South Africa au Egypt au Algeria ya sasa.
Kama Morocco na umaskini wake unataka kuandaa world cup Kwa kushirikiana na Spain ,by the year kuanzia 2040 tutakuwa mbele ya Morocco kiuchumi.
Kikubwa viwanja vinavhopendekezwa Mwanza,Mbeya ,Dom, Dar, Zanzibar na Kigoma vijengwe Kwa hadhi na ubora mkubwa.
Miundombinu mingine hususani reli ni muhimu sana ziweze kuunganisha Miji hiyo na Barabara kuu ziwe dual carriage way.
Kama ikiwezekana ijengwe sgr kutoka Tunduma-Mbeya-Dodoma-Arusha-Kenya.
View: https://www.instagram.com/p/DXXC2UajGtV/?igsh=dGk4Mmg5YmJldmMx