Gerson Msigwa: Tutaomba kuwa Wenyeji wa Kombe La Dunia

My Take
Naunga mkono hayo maono na Mawazo ya bwana Msigwa.

Kwa kuwa kama Nchi tunatekeleza vision 2050 ya kuwa na Uchumi wa Trilioni 2,500 ($1T) Sina shaka kwamba uchumi huo ni mkubwa sana kama tutafikia hata nusu yake tuu manake tutakuwa kama South Africa au Egypt au Algeria ya sasa.

Kama Morocco na umaskini wake unataka kuandaa world cup Kwa kushirikiana na Spain ,by the year kuanzia 2040 tutakuwa mbele ya Morocco kiuchumi.

Kikubwa viwanja vinavhopendekezwa Mwanza,Mbeya ,Dom, Dar, Zanzibar na Kigoma vijengwe Kwa hadhi na ubora mkubwa.

Miundombinu mingine hususani reli ni muhimu sana ziweze kuunganisha Miji hiyo na Barabara kuu ziwe dual carriage way.

Kama ikiwezekana ijengwe sgr kutoka Tunduma-Mbeya-Dodoma-Arusha-Kenya.

Jamaa ni kajinga utasema hajatoka poor family
 
Miaka 24 kutoka sasa bado tunatafuta proudness kwenye nchi ambayo haitakuwa na uwezo hata wa kutengeneza semiconductor WTF??!! Dunia inaenda mbele sisi tunarudi nyuma. Trump hakukosea kutuita shitthole countries.
Hizo akili za msigwa ndio akili zinazofikia maamuzi ya kuanzisha tozo za swimming pools. Poor baboons

Semiconductor complex namna hiyo kwa akili zetu za kufikiria ngono mchana na usiku mkuu? Hatujaweza kusambaza maji hata machafu tu kila mwaka kuna kipindupindu capital city na mifereji ya majitaka hadi ikulu mafuriko yanafika kila mvua ikinyesha
 
My Take
Naunga mkono hayo maono na Mawazo ya bwana Msigwa.

Kwa kuwa kama Nchi tunatekeleza vision 2050 ya kuwa na Uchumi wa Trilioni 2,500 ($1T) Sina shaka kwamba uchumi huo ni mkubwa sana kama tutafikia hata nusu yake tuu manake tutakuwa kama South Africa au Egypt au Algeria ya sasa.

Kama Morocco na umaskini wake unataka kuandaa world cup Kwa kushirikiana na Spain ,by the year kuanzia 2040 tutakuwa mbele ya Morocco kiuchumi.

Kikubwa viwanja vinavhopendekezwa Mwanza,Mbeya ,Dom, Dar, Zanzibar na Kigoma vijengwe Kwa hadhi na ubora mkubwa.

Miundombinu mingine hususani reli ni muhimu sana ziweze kuunganisha Miji hiyo na Barabara kuu ziwe dual carriage way.

Kama ikiwezekana ijengwe sgr kutoka Tunduma-Mbeya-Dodoma-Arusha-Kenya.

Nyie watu malizenu matatizo ya watu mkishinde hata kipindupindu kwanza kabla ya kyfakamia ndoto za kuhost kombe la dunia.

Kuhost haya mashindano mostly ni ufahari wa kijinga tu hakuna tija ya kiuchumi.
 
Semiconductor complex namna hiyo kwa akili zetu za kufikiria ngono mchana na usiku mkuu? Hatujaweza kusambaza maji hata machafu tu kila mwaka kuna kipindupindu capital city na mifereji ya majitaka hadi ikulu mafuriko yanafika kila mvua ikinyesha
Mkuu,

Umefikiri kama mimi, kitu cha kwanza nimefikiria ni kipindupindu.
 
Maajabu sana unafikria viwanja vya kombe la dunia wakati hujaweza kulinda afya ya watu wako dhidi ya magonjwa yanayotokana na kula mavi! Tena ndani ya capital city. Kupanga ni kuchagua...
 
Ukichunguza sana utaona hawa watu wanajali kujitutumua na kuonekana kwa ufahari kuliko kutatua matatizo ya msingi ya watu.

Hii inaitwa "Status Anciety".

Pia wanapenda miradi mikubwa kwa sababu wanaona kuna nafasi za kupiga hapo.
 
Kasi ilikuwa ndogo ila kuanzia mwaka huu itaongezwa sanjali na matakwa ya dira Mpya ya 2026-2050.
Hadi 2050 ni mbali sana. Tunao uwezo wa kuendeleza nchi haraka kabla ya huo muda lakini siasa uchwara zinaturudisha nyuma
Pia tuna vipaumbele vya kijinga
 
My Take
Naunga mkono hayo maono na Mawazo ya bwana Msigwa.

Kwa kuwa kama Nchi tunatekeleza vision 2050 ya kuwa na Uchumi wa Trilioni 2,500 ($1T) Sina shaka kwamba uchumi huo ni mkubwa sana kama tutafikia hata nusu yake tuu manake tutakuwa kama South Africa au Egypt au Algeria ya sasa.

Kama Morocco na umaskini wake unataka kuandaa world cup Kwa kushirikiana na Spain ,by the year kuanzia 2040 tutakuwa mbele ya Morocco kiuchumi.

Kikubwa viwanja vinavhopendekezwa Mwanza,Mbeya ,Dom, Dar, Zanzibar na Kigoma vijengwe Kwa hadhi na ubora mkubwa.

Miundombinu mingine hususani reli ni muhimu sana ziweze kuunganisha Miji hiyo na Barabara kuu ziwe dual carriage way.

Kama ikiwezekana ijengwe sgr kutoka Tunduma-Mbeya-Dodoma-Arusha-Kenya.

Yes,
we deserve
 
Hapo Sasa ndio tufikirie tufanyaje Ili tuende haraka lakini Mzee unadhani Kuna kazi ndogo kutoa Nchi kwenye Uchumi wa $100b Hadi $1T by 2050?

Kwangu Mimi by 2040 tukifikia hata GDP ya $300b tutakuwa tumefaulu.
 
My Take
Naunga mkono hayo maono na Mawazo ya bwana Msigwa.

Kwa kuwa kama Nchi tunatekeleza vision 2050 ya kuwa na Uchumi wa Trilioni 2,500 ($1T) Sina shaka kwamba uchumi huo ni mkubwa sana kama tutafikia hata nusu yake tuu manake tutakuwa kama South Africa au Egypt au Algeria ya sasa.

Kama Morocco na umaskini wake unataka kuandaa world cup Kwa kushirikiana na Spain ,by the year kuanzia 2040 tutakuwa mbele ya Morocco kiuchumi.

Kikubwa viwanja vinavhopendekezwa Mwanza,Mbeya ,Dom, Dar, Zanzibar na Kigoma vijengwe Kwa hadhi na ubora mkubwa.

Miundombinu mingine hususani reli ni muhimu sana ziweze kuunganisha Miji hiyo na Barabara kuu ziwe dual carriage way.

Kama ikiwezekana ijengwe sgr kutoka Tunduma-Mbeya-Dodoma-Arusha-Kenya.

Kuna muda unaweza ukamtukana mtu (msigwa) MATUSI MAZITO MAZITO YAKAMUUMA MPAKA AKATAMANI AKUTAFUTE AKUBANE MAPU*MBU.

NB. pamoja na struggle za kupambana na UJINGA UMASKINI NA MARADHI..kama taifa bado hatuna MIUNDOMBINU ya KUWEZA kufanikisha KUWEZA kuandaa kombe la Dunia..hata kwa miaka 30 IJAYO.

Ngoja nijilie UGALI WANGU HAPA MAANA KUNA WATU UKIWA SIKILIZA UNAWEZA KUSEMA NI UKICHAA
 
Tutaifikia.Kwako miundombinu gani ya ajabu inahitajika kuandaa World Cup?
 
Back
Top Bottom