ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
- #81
Kwa nini niite wakati vinaonekana site?Endelea kuota
Kwa nini niite wakati vinaonekana site?Endelea kuota
Kwa uchache barabara bado, viwanja vya kisasa huna, hotels na motels za kisasa na zakutosha huna,Tutaifikia.Kwako miundombinu gani ya ajabu inahitajika kuandaa World Cup?
Matundu ya choo hawajaweza kumaliza : wanawaza ku host world cup ….. sijajua m TZ wa chini atanufaika vipiUkichunguza sana utaona hawa watu wanajali kujitutumua na kuonekana kwa ufahari kuliko kutatua matatizo ya msingi ya watu.
Hii inaitwa "Status Anciety".
Pia wanapenda miradi mikubwa kwa sababu wanaona kuna nafasi za kupiga hapo.
Ni wapi Afcon inatutoa jasho?Kwa uchache barabara bado, viwanja vya kisasa huna, hotels na motels za kisasa na zakutosha huna,
Usalama hapa inaitajika technology, police, mipango ya dharula
Airports za kisasa ili kupokea wageni kutoka all over the world
Technology na mawasiliano e.g hapo kwa mwamposa ibadani kawe watu wanakua wengi mpaka mtandao unazidiwa na kuwa lower
Uzoefu wa kuandaa matukio makubwa africon inakutoa jasho nusra tunyanganywe 'hati hati mpaka sasa'
NB. Hata kwa miaka 30 IJAYO huna uwezo wa kuandaa kombe la Dunia kwanza SERIKALI YAKO YA CCM Leo imeshindwa kwenye mambo ya msingi kwa zaidi ya miaka 60's toka uhuru unadhani utaweza kufanya COME BACK ndani ya miaka 30 IJAYO uandae kombe la Dunia.
Hiyo AFCON yenyewe tukiihost inaenda kutuumbua.Matundu ya choo hawajaweza kumaliza : wanawaza ku host world cup ….. sijajua m TZ wa chini atanufaika vipi
Au ndio ile
Sisi ndio the only EAC country tume host World Cup 🤣
Wiki mbili zilizo pita nilikua na miaka mingi sijatoka nje ya dar es salaam Tanzania.Hiyo AFCON yenyewe tukiihost inaenda kutuumbua.
Usalama hapa inaitajika technology, police, mipango ya dharulaNi wapi Afcon inatutoa jasho?
Tuna host mikutano mikubwa ya Wageni wa heavy weights na kuwahakikishia usalama harafu eti mashabiki ndio tushindwe? Mexico yenye magenge ya kihalifu sawa na South Africa wame host kipi kitakuwa kigumu Kwa Tanzania?
Viwanja vya ndege vipo na wewe unajua.
Mahoteli ndio usiseme Kuna yaliyopo na yatakayokuwepo na yanayoendelea na ujenzi.Hivi unajua kwamba Tanzania ni Nchi ya 3 Kwa kasi kubwa ya ujenzi wa mahoteli? Najua hujui ndio jua Leo kama unabisha sema nikupe data.
Hakuna kitu spesho Cha kushindwa by 2040-2044 au 2048.
So far security cameras zimefungwa Dar,Dom,Arusha na wanaeda mdogo mdogo Hadi Kufikia mini yote mikubwa na vituo muhimuUsalama hapa inaitajika technology, police, mipango ya dharula
Airports za kisasa ili kupokea wageni kutoka all over the world
Technology na mawasiliano e.g hapo kwa mwamposa ibadani kawe watu wanakua wengi mpaka mtandao unazidiwa na kuwa lower
Uzoefu wa kuandaa matukio makubwa africon inakutoa jasho nusra tunyanganywe 'hati hati mpaka sasa'
NB. Soma kwa UTUO 😁😊
🤣 au sioSo far security cameras zimefungwa Dar,Dom,Arusha na wanaeda mdogo mdogo Hadi Kufikia mini yote mikubwa na vituo muhimu
Hakuna kitu Cha ajabu Cha kufanya tushindwe kuandaa World Cup
Kombe la Dunia my assMy Take
Naunga mkono hayo maono na Mawazo ya bwana Msigwa.
Kwa kuwa kama Nchi tunatekeleza vision 2050 ya kuwa na Uchumi wa Trilioni 2,500 ($1T) Sina shaka kwamba uchumi huo ni mkubwa sana kama tutafikia hata nusu yake tuu manake tutakuwa kama South Africa au Egypt au Algeria ya sasa.
Kama Morocco na umaskini wake unataka kuandaa world cup Kwa kushirikiana na Spain ,by the year kuanzia 2040 tutakuwa mbele ya Morocco kiuchumi.
Kikubwa viwanja vinavhopendekezwa Mwanza,Mbeya ,Dom, Dar, Zanzibar na Kigoma vijengwe Kwa hadhi na ubora mkubwa.
Miundombinu mingine hususani reli ni muhimu sana ziweze kuunganisha Miji hiyo na Barabara kuu ziwe dual carriage way.
Kama ikiwezekana ijengwe sgr kutoka Tunduma-Mbeya-Dodoma-Arusha-Kenya.
Hamna kitu hapoKwa nini niite wakati vinaonekana site?
Wapi hamna kitu?Hamna kitu hapo