The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Hapa issue sio uwezo wa nchi kuandaa hiyo WC bali uwasilishaji wako ni wa kijinga sana usiokua na mantiki,Huna hoja unajificha kwenye zoo ya ujinga uliojaza kichwani.
Nyie ndio wale Nchi imeweka vision 2050 ya $1 Trilion economy mnabisha na hakuna mnachoelewa kuhusu hiyo roadmap.
Unasema 2040 utakua na uchumi kama wa Morocco wa sasa!
Unazijua gharama za kuandaa WC? mpaka 2040 hizo gharama hazita panda? kama Morocco anaweza kuandaa mwaka huu,ndio useme na wewe unaweza kuandaa WC 2040 kisa utakua sawa na uchumi wake alio nao Morocco leo? hivi unajielewa kweli wewe?
Unazijua FIFA requirement za kuhost WC?
Nikupe mfano mdogo tu,
German 2006 walitumia $4.3B kuandaa wc
2018 wc Russia walitumia $11.6 B
Qatar 2022 wametumia $ 220-229 B kuhost wc
N hizo nchi tayari zilikua na miundo mbinu yao hasa kwenye issue ya transportation,
Unaona jinsi gharama zinavyo badilika?
Halafu bila aibu unasema ''Kwani wc inahitaji nini zaidi ya viwanja tu?''
FIFA wanamtaka host atleast awe na viwanja 14 vyenye high capacity,mechi ya ufunguzi na final lazima kiwanga kiingize watu 80,000 uwe na viwanja vya mazoezi 72-90 plus accomodation kwenye hivyo viwanja,kuna issue za logistic,security operation,high capacity Airports kila mji utakao host,kuna mambo mengi sana yanahitajika na sio kama unavyo andika wewe hapa,
Sijasema haiwezekani kuhost bali uwasilishaji wako kwenye hii mada ni wa mtu aliye wasilisha kitu asicho kijua.