Gerson Msigwa: Tutaomba kuwa Wenyeji wa Kombe La Dunia

Gerson Msigwa: Tutaomba kuwa Wenyeji wa Kombe La Dunia

Tangu nimefika Mbeya mwaka 2023 hadi leo hii 2026 miundombinu bado ni ya hovyo
Watu wanazidi kujenga ila miundombinu ni very stagnant
Jiji bado lina mwonekano wa hovyo and that's not going to change anytime soon
Airport ya zamani wanajenga stendi mpya, ila bado huo mtaa una mpangilio mbovu sana, a miundombinu inachekesha
Itachukua muda mrefu sana kuibadilisha Mbeya
Kasi ilikuwa ndogo ila kuanzia mwaka huu itaongezwa sanjali na matakwa ya dira Mpya ya 2026-2050.
 
1. Hizi barabara za msimu wa jua : mvua ikinyesha zimeharibika,,,Taja mji/Jiji moja tu ambalo unaamini lina barabara nzuri,
2. Hii majiji yanakuwa kama Uyoga,,ukija Dar ndiyo usiseme : Bandari kavu kila kona
3.Umeme wa gesi,maji ,mafuta na makaa lakini umeme una katika kila siku
4.Mifumo mibovu ya mitalo,mvua kidogo mafuriko hayo..
5.Usafiri tu wa public serikali inashindwa kumudu

Sisi hatuna Framework ya maendeleo...mambo yanajifanyikia tu.
Na nyie mnakaa kuandika kusifia tu wakati uhalisia ni tofauti
Vyote hivyo vinazidi kuboreshwa na kuaminika.

Kwani hujawahi kusikia au kusoma kuhusu adha ya umeme Marekani au Mexico wanakoandaa World Cup?

Tena kule au South Africa Kuna Hadi magenge ya uhalifu , upuuzi huo haupo Tanzania.

View: https://www.instagram.com/p/DXbIgQijAGG/?igsh=czhqY3V2M3lweWJh
 
Elewa logic usiwe mjinga.Wao Kwa Uchumi wao wa Leo Wana uwezo wa kuandaa World Cup na South Africa imeshaandaa sie Tanzania hatujafukia huo uchumi au uwezo Bado.

By huo mda tutakuwa na Uchumi kama wao au kuzidi wao wa Sasa ambao utatuwwzesha ku qualify kuandaa World Cup.

Kwa kuzingatia Nafasi ya EAC,tutakuwa na nafasi nzuri zaidi .

Mwisho,tunaweza hata kuwapita kiuchumi Kwa sababu ukuaji wetu ni zaidi Yao na potential ya kirasilimali ni kubwa kwetu kuliko wao.
unajua kuna muda naona Trump anastahili kuitwa nabii kutuita shit holes, yani huyu pumbu anaamini Tz ya ufisadi, ulimbukeni wa viongozi kujilimbizia mali na magari huku hata matundu ya choo ni kizungumkuti ati ndio tuje kuwashinda South Africa wanaounda magari ma hata treni zao wenyewe kwa uchumi gani tulionao ?

yani nchi inayokopa kwa ajili ya kugawana maburungutu ndio ije iwe na uchumi ati kama Spain. HIVI HUU UPUMBAVU NA NDOTO ZA ALINACHA TUTAACHA LINI ILI hatimae tuanze kuchukua hatua za maksudi angalau kuanza kuijenga nchi. NI LAANA KUA MTANZANIA
 
Huna hoja
 
Huna hoja
sina hoja ila wewe huna akili kutegemea hao viongozi wenu wasiojua hata hesabu ndogo waseme mafuta ni dollar 8,000 ndio mje kufikia uchumi wa Spain, viongozi hata maono hawana ni kukopa na kugawana maburungutu unajidanganya dogo chawa.
 
Usimfananishe Morocco ambaye kwanza ana high-speed rail inayotembea km 320 kwa saa tangu mwaka 2018 na sisi ambao SGR yetu bado ina stuck kijinga jinga tu.
 
Amepata chaka jipya la kuiba kwa kisingizio cha kuandaa WC?

Haka kajamaa na majizi wenzie ule uwanja wa taifa wameugeuza mradi wakiona wanahitaji pesa wanaufunga wakidai makerebisho kumbe majizi waliokubuhu.

Na huyu Chawa -Variable kwa kwakua analipwa posho na hao majiizi linaamini uzandiki wao .
View attachment 3577196
Kuhusu uwanja wa Arusha mabilioni yaliyosemwa mwanzoni ni bajeti ya uwanja kwa vigezo vyetu huku Afrika ya Mashariki, lakini kilichokuja kusemwa baadae ni bajeti halisi ya uwanja wenye viwango vya CAF, eleweni kuwa hizo ni bajeti mbili tofauti.

Ujenzi na utunzaji wa viwanja vya kisasa una gharama kubwa sana, uwanja wa Cameroon ulijengwa kwa bajeti zinazofanana na hizi za uwanja wa Arusha lakini uwanja ule unakwenda kukarabatiwa siku za karibuni itatumika pesa yenye thamani ya shilingi bilioni 800 ya kitanzania.

Huu uwanja wa Arusha miaka 10 ijayo utakapokuja kukarabatiwa ili ubora uongezeke unaweza kuja kugharimu shilingi trilioni moja.

Punguzeni hizi siasa za kudhani mnaibiwa pesa, uhalisia wa dunia ya kisasa upo tofauti na hizi dhana zetu potofu.
 
Elewa logic usiwe mjinga.Wao Kwa Uchumi wao wa Leo Wana uwezo wa kuandaa World Cup na South Africa imeshaandaa sie Tanzania hatujafukia huo uchumi au uwezo Bado.

By huo mda tutakuwa na Uchumi kama wao au kuzidi wao wa Sasa ambao utatuwwzesha ku qualify kuandaa World Cup.

Kwa kuzingatia Nafasi ya EAC,tutakuwa na nafasi nzuri zaidi .

Mwisho,tunaweza hata kuwapita kiuchumi Kwa sababu ukuaji wetu ni zaidi Yao na potential ya kirasilimali ni kubwa kwetu kuliko wao.
south africa ilipata uhuru mwaka 1994 lakini inatupita mbali kiuchumi, sisi tumeshindwa shindwaje kuwa na uchumi mkubwa/sawa nao mpaka tusubiri mwaka 2040?
 
Miradi ya upigaji hii, wanaposema hivi utakuta tayari washaunda proposal tayari na kumpa mamaduro akakope huku wanaimba mapambio kwamba wanakopeshaka na kumsifia mama yao then anasign tu hana hili wala lile wanapeleka kwa wakopeshaji, who cares?

Watalipa kenge, watoto na wajukuu zao miaka mia mbele wakati watoto wao wapigaji wanatumbua mizigo iliyofichwa Dubai na kwingineko
 
Back
Top Bottom