ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kwa nini iwe ndoto? Kuna maajaabu gani kuwa mwenyeji wa World Cup? Au Kuna kipi Cha maana zaidi ya viwanja? Kwamba hatuwezi kujenga Viwanja 5 ambavyo havifiki hata Trilioni 3?NDOTO za ALINACHA...!!
Mpaka 2040 hao Morocco,wao uchumi wao utakua umesimama wakisubiri mje muwapite?Kama Morocco na umaskini wake unataka kuandaa world cup Kwa kushirikiana na Spain ,by the year kuanzia 2040 tutakua mbele ya Morocco kiuchumi.
Return on investment ya World Cup au Afcon haipimwi Kwa kutumia matumizi ya viwanja Bali Utalii na Heshima ya Nchi.Kwani "Return on Investment" ya kile cha Arusha ni kiasi gani ili tuone hiyo hoja ya more investment/expansion ina mashiko! Au washapiga cha Arusha sasa wamenogewa wanataka mzigo mkubwa zaidi?
Tutawapeleke kwenye kikao cha kuwasuta waone aibu baadaye kama hatujaona business plan ya anayosema
Hata kama utakuwa haujasimama ila hoja ni kwamba tutakuwa tumefikia viwango vya kuweza kuandaa World Cup kama wao.Mpaka 2040 hao Morocco,wao uchumi wao utakua umesimama wakisubiri mje muwapite?
Kivipi?Hmm Wanaleta utani
2040 mtakapokua na uchumi kama wa South Afrika na Egypt,wao watakua na uchumi gani wakati huo? au watawasubiri tu ili mje kua sawa kiuchumi? mpaka 2040 gharama za maisha hazipandi?Kwa kuwa kama Nchi tunatekeleza vision 2050 ya kuwa na Uchumi wa Trilioni 2,500 ($1T) Sina shaka kwamba uchumi huo ni mkubwa sana kama tutafikia hata nusu yake tuu manake tutakua ka South Africa au Egypt ya sasa.
Elewa logic usiwe mjinga.Wao Kwa Uchumi wao wa Leo Wana uwezo wa kuandaa World Cup na South Africa imeshaandaa sie Tanzania hatujafukia huo uchumi au uwezo Bado.2040 mtakapokua na uchumi kama wa South Afrika na Egypt,wao watakua na uchumi gani wakati huo? au watawasubiri tu ili mje kua sawa kiuchumi? mpaka 2040 gharama za maisha hazipandi?
Hivi mtu mwenye shilingi milioni moja leo,anaweza kua sawa na mtu atakaye kuja kuipata hiyo shilingi milioni moja mwaka 2040?
World cup ni zaidi ya kua na viwanja pekee,Kuna kipi Cha maana zaidi ya viwanja?
Unadhani ni kipi ambacho tutakuwa hatuna?World cup ni zaidi ya kua na viwanja pekee,
Jaribu kufuatilia kwanza japo uwe na idea jinsi WC inayo yahitaji ili kua mwenyeji.
Ukitumia lugha ya kuniita mjinga,nitadeal na wewe kwa lugha za aina hiyo hiyo,Elewa logic usiwe mjinga.Wao Kwa Uchumi wao wa Leo Wana uwezo wa kuandaa World Cup na South Africa imeshaandaa sie Tanzania hatujafukia huo uchumi au uwezo Bado.
Wewe jamaa ni mpumbavu sana,hivi unafikiri gharama za kuandaa World cup za mwaka huu,zitakua sawa na gharama za kuandaa World cup 2040? hebu jipe muda kwanza ufuatilie gharama za kuandaa WC zinavyopanda kila baada ya 4 yrs.By huo mda tutakuwa na Uchumi kama wao au kuzidi wao wa Sasa ambao utatuwwzesha ku qualify kuandaa World Cup.
Kwanini toka mwanzo hukua na uchumi mkubwa kuliko wao?Mwisho,tunaweza hata kuwapita kiuchumi
Narudia tena acha kuishi kwenye ujinga na kuwa lofa.Ukitumia lugha ya kuniita mjinga,nitadeal na wewe kwa lugha za aina hiyo hiyo,
Huna akili wewe,wala hujui unachokiongea.
Wewe jamaa ni mpumbavu sana,hivi unafikiri gharama za kuandaa World cup za mwaka huu,zitakua sawa na gharama za kuandaa World cup 2040? hebu jipe muda kwanza ufuatilie gharama za kuandaa WC zinavyopanda kila baada ya 4 yrs.
Kwanini toka mwanzo hukua na uchumi mkubwa kuliko wao?
Una akili nzito sana ya uelewa,inaonekana ulimpa tabu sawa mwalimu wako kukuelewesha,kama ulisoma lakini.Narudia tena acha kuishi kwenye ujinga na kuwa lofa.
Gharama zipi hizo za ziada zaidi ya kujenga viwanja na Barabara? Kwani Uchumi uko stagnant Hadi useme gharama sijui zitaongezeka?
Ndio hapo Mwanzo hatukuwa na Uchumi mkubwa kuliko wao.
Mwisho hatulinganishi Nchi Bali uchumi unaweza kuhimili kuandaa World Cup na nafasi ya EAC geopolitically
Huna hoja unajificha kwenye zoo ya ujinga uliojaza kichwani.Una akili nzito sana ya uelewa,inaonekana ulimpa tabu sawa mwalimu wako kukuelewesha,kama ulisoma lakini.
Kuandaa World Cup ni proudness ndio maana Nchi zinagombea.Inamaana miaka 24 kutoka sasa ndio angalau tunaweza kuwa na uchumi unao karibia/lingana na morocco/S.A ya sasa alafu vision yetu kubwa ni kuandaa mashindano ya kombe la dunia. Ni kama tumelaaniwa hivi au hawa washika maono wanatuona wa TZ ni kama matak@ yao!!??