The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Hapa issue sio uwezo wa nchi kuandaa hiyo WC bali uwasilishaji wako ni wa kijinga sana usiokua na mantiki,Huna hoja unajificha kwenye zoo ya ujinga uliojaza kichwani.
Nyie ndio wale Nchi imeweka vision 2050 ya $1 Trilion economy mnabisha na hakuna mnachoelewa kuhusu hiyo roadmap.
Kabisa kabisa.World cup ni zaidi ya kua na viwanja pekee,
Jaribu kufuatilia kwanza japo uwe na idea jinsi WC inayo yahitaji ili kua mwenyeji.
Huna hoja unajificha kwenye zoo ya ujinga uliojaza kichwani.
Nyie ndio wale Nchi imeweka vision 2050 ya $1 Trilion economy mnabisha na hakuna mnachoelewa kuhusu hiyo roadmap.
Miaka 24 kutoka sasa bado tunatafuta proudness kwenye nchi ambayo haitakuwa na uwezo hata wa kutengeneza semiconductor WTF??!! Dunia inaenda mbele sisi tunarudi nyuma. Trump hakukosea kutuita shitthole countries.Kuandaa World Cup ni proudness ndio maana Nchi zinagombea.more metaphorically
Hivyo unavyozungumzia nafasi ya East Africa geopolitically, Utadhani huko duniani what we say kinaskilizwa...🤣🤣😂Narudia tena acha kuishi kwenye ujinga na kuwa lofa.
Gharama zipi hizo za ziada zaidi ya kujenga Viwanja na Barabara? Kwani Uchumi uko stagnant Hadi useme gharama sijui zitaongezeka?
Ndio hapo Mwanzo hatukuwa na Uchumi mkubwa kuliko wao.
Mwisho hatulinganishi Nchi Bali uchumi unaweza kuhimili kuandaa World Cup na nafasi ya EAC geopolitically
NdioHivyo unavyozungumzia nafasi ya East Africa geopolitically, Utadhani huko duniani what we say kinaskilizwa...🤣🤣😂
Kwani Iko stagnant au inazidi kuboreshwa?Wewe umeona ujenzi wa viwanja tu...
Wakati mifumo yenyewe ya miundombinu ya
- Usafirshaji ni mibovu
- Umeme kukatika kila wiki bila sababu
- Maji hayatoshelezi
- Mazingira machafu
- Mipango miji hovyo
Unajilinda?Mnataka kuiba nyingine achana na hizo za Arusha.
Kwa Ulinzi gani mlionao majuha nyie mlete watu wa mataifa hapa ndani.
Kwa speed ya konokonoKwani Iko stagnant au inazidi kuboreshwa?
Kwani vyote hivyo vitakuwa havipo? Unajua habari yeyote kuhusu hayo uliyoandika?Kabisa kabisa.
Miundombinu ya barabara, viwanja vya ndege, hoteli nyingi bila kusahau Hali nzuri ya usalama ni muhimu mno.
ThibitishaKwa speed ya konokono
1. Hizi barabara za msimu wa jua : mvua ikinyesha zimeharibika,,,Taja mji/Jiji moja tu ambalo unaamini lina barabara nzuri,Kwani Iko stagnant au inazidi kuboreshwa?
Tangu nimefika Mbeya mwaka 2023 hadi leo hii 2026 miundombinu bado ni ya hovyoThibitisha
My Take
Naunga mkono hayo maono na Mawazo ya bwana Msigwa.
Kwa kuwa kama Nchi tunatekeleza vision 2050 ya kuwa na Uchumi wa Trilioni 2,500 ($1T) Sina shaka kwamba uchumi huo ni mkubwa sana kama tutafikia hata nusu yake tuu manake tutakuwa kama South Africa au Egypt au Algeria ya sasa.
Kama Morocco na umaskini wake unataka kuandaa world cup Kwa kushirikiana na Spain ,by the year kuanzia 2040 tutakuwa mbele ya Morocco kiuchumi.
Kikubwa viwanja vinavhopendekezwa Mwanza,Mbeya ,Dom, Dar, Zanzibar na Kigoma vijengwe Kwa hadhi na ubora mkubwa.
Miundombinu mingine hususani reli ni muhimu sana ziweze kuunganisha Miji hiyo na Barabara kuu ziwe dual carriage way.
Kama ikiwezekana ijengwe sgr kutoka Tunduma-Mbeya-Dodoma-Arusha-Kenya.
View: https://www.threads.com/@fatakibachingemhariri/post/DXYca_Ojv0p?xmt=AQF0sIurkeEapSLFS3TH9rQtsMHikg8IqakY--DzdWWAa0S_7ol_xqms2CP80cAyRvBiJJ2J&slof=1
Waongo hata huo mwaka hawawezi kuwa na uchumi kama wa SA na Morroco2040 mtakapokua na uchumi kama wa South Afrika na Egypt,wao watakua na uchumi gani wakati huo? au watawasubiri tu ili mje kua sawa kiuchumi? mpaka 2040 gharama za maisha hazipandi?
Hivi mtu mwenye shilingi milioni moja leo,anaweza kua sawa na mtu atakaye kuja kuipata hiyo shilingi milioni moja mwaka 2040?