Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kwani wewe ndio nani kwenye nchi hii mpaka ulete Post, subiri siku ukisikia naibu waziri ndiyo utajua hujui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uwanja wa netball ndo uitwe hivyo,,lakini uwanja wa kabumbu uitwe jina la mzee wa CHATO,,manake sijasikia kuna ki2 kimejengwa na kupewa jina lake!!!!......alaf mzee baba alikuwa mnyama in blood!!! alaf alikimbiza sana kwenye miundo mbinu!!! au mnasemaje?My Take
Naunga mkono hoja ila prefix ya Dr iondolewe ndio jina litapendeza zaidi.
Kazi iendelee 👇👇
---
Uwanja huo unaosubiriwa kwa hamu kujengwa Arusha utapewa jina la Rais wa sasa Samia Suluhu Hassan endapo tu atakubali pendekezo hilo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Gerson Msigwa, alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam jana.
“Kama Wizara, tunapanga kuupa jina la Uwanja wa Samia Suluhu Hassan baada ya kukamilika kwake endapo atakubali pendekezo hilo.
"Utakuwa uwanja wa kisasa wenye uwezo wa kuchukua watu 30,000 na utakuwa miongoni mwa viwanja vya kuandaa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027," anasema.
Aidha, Msigwa anafichua kuwa kazi za ukarabati katika Viwanja vya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam zimepangwa kukamilika Agosti 24 mwaka huu.
"Viti vyote 60,000 ndani ya uwanja vitabadilishwa na vipya na niamini, kazi ya kuinua itakapokamilika, ukumbi utaonekana tofauti kabisa," anasema.
Anaongeza kuwa zaidi ya 31bn/- zimetengwa kwa ajili ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Sasa kama Benjamin alikataa si yeye? Kwani lazima na Samia akatae? Mimi nataka Rais Samia akubali Kwa Sababu juhudi zake zinaonekanaUmebatizwa kwa jina lake kwa kulazimisha baada ya yeye B. W. Mkapa kufariki dunia, yeye mwenyewe kwa kinywa chake alikataa kabisa wakati akiwa hai.
Wewe mwenye akili nyingi una Msaada upi Kwa jamii?Ni Kupungukiwa Akili Kukubwa Sana Ndugu Zangu
By Jiwe
Da!!! rais wangu ni "BONGE LA BEAUTIFUL"Sasa kama Benjamin alikataa si yeye? Kwani lazima na Samia akatae? Mimi nataka Rais Samia akubali Kwa Sababu juhudi zake zinaonekana View attachment 2932598View attachment 2932599
Daraja la Magufuli, Magufuli City Mji wa Serikali,Stendi ya Magufuli nk nk.uwanja wa netball ndo uitwe hivyo,,lakini uwanja wa kabumbu uitwe jina la mzee wa CHATO,,manake sijasikia kuna ki2 kimejengwa na kupewa jina lake!!!!......alaf mzee baba alikuwa mnyama in blood!!! alaf alikimbiza sana kwenye miundo mbinu!!! au mnasemaje?
Ali Hassan Mwinyi ndiye hana vitu vingi vinavyoitwa kwa jina lake.uwanja wa netball ndo uitwe hivyo,,lakini uwanja wa kabumbu uitwe jina la mzee wa CHATO,,manake sijasikia kuna ki2 kimejengwa na kupewa jina lake!!!!......alaf mzee baba alikuwa mnyama in blood!!! alaf alikimbiza sana kwenye miundo mbinu!!! au mnasemaje?
Hata akitaka tanzania iitwe samia sawa tu......ila 2030 atoke tunamvumilia tuMy Take
Naunga mkono hoja ila prefix ya Dr iondolewe ndio jina litapendeza zaidi.
Pili Mtu apewe maua yake mapema kabla hajafa sio mtu amefariki kama Lowassa ndio mnaanza kujisemesha ooh sijui alijenga nini tutunze historia nk.
Kazi iendelee 👇👇
View attachment 2932600View attachment 2932601
---
Uwanja huo unaosubiriwa kwa hamu kujengwa Arusha utapewa jina la Rais wa sasa Samia Suluhu Hassan endapo tu atakubali pendekezo hilo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Gerson Msigwa, alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam jana.
“Kama Wizara, tunapanga kuupa jina la Uwanja wa Samia Suluhu Hassan baada ya kukamilika kwake endapo atakubali pendekezo hilo.
"Utakuwa uwanja wa kisasa wenye uwezo wa kuchukua watu 30,000 na utakuwa miongoni mwa viwanja vya kuandaa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027," anasema.
Aidha, Msigwa anafichua kuwa kazi za ukarabati katika Viwanja vya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam zimepangwa kukamilika Agosti 24 mwaka huu.
"Viti vyote 60,000 ndani ya uwanja vitabadilishwa na vipya na niamini, kazi ya kuinua itakapokamilika, ukumbi utaonekana tofauti kabisa," anasema.
Anaongeza kuwa zaidi ya 31bn/- zimetengwa kwa ajili ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kwanza hamna Cha kimfanya ,pili anaondoka 2030 kama ulivyosema ,kwani amekwambia ataongeza mda? Ili kitokee nini?Hata akitaka tanzania iitwe samia sawa tu......ila 2030 atoke tunamvumilia tu
Na team ya Taifa stars iitwe Samia starsNini Uwanja, hata nchi wakitaka waibadilishe jina waiite Jamhuri Ya Muungano wa Samia.
Sio wivu...wananchi wengi wanaona na kufikiri nini? Tuliza akili...kaa angalia...bila chuki wala kumuonea mtu, ndio utoe hoja zako.📌📌🔨Wivu 😆😆😆😆😁😁😁😁😁
Awamu hii walamba asali kwa kujipendekeza hawajambo, haya bhn tushachambwa kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake!.
uko sawa lakini tayari ZANZIBAR kuna uwanja unaitwa ALI HASSAN MWINY!!!...sasa inakuaje hapo???""uwanja uite MAGUFULI STUDIUM!!!,,,,,kama kiboko ya CORONA!!Ali Hassan Mwinyi ndiye hana vitu vingi vinavyoitwa kwa jina lake.
Ukimalizwa mfungo pia uende shule maana dini yenu kichwani elimu hakuna mkuuuKwanza hamna Cha kimfanya ,pili anaondoka 2030 kama ulivyosema ,kwani amekwambia ataongeza mda? Ili kitokee nini?
Wewe una Elimu ipi?Ukimalizwa mfungo pia uende shule maana dini yenu kichwani elimu hakuna mkuuu