Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Mpumbavu mama yako alieacha kumeza p2 baada ya kuchepuka na baba yako kupelekea zwazwa kama wewe kuzaliwa.Ili iwaje? Hawajafikia viwango vya upumbavu kama wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpumbavu mama yako alieacha kumeza p2 baada ya kuchepuka na baba yako kupelekea zwazwa kama wewe kuzaliwa.Ili iwaje? Hawajafikia viwango vya upumbavu kama wako
Hela zetu mtu anajipachika jina!!!🙆🙆My Take
Naunga mkono hoja ila prefix ya Dr iondolewe ndio jina litapendeza zaidi.
Pili Mtu apewe maua yake mapema kabla hajafa sio mtu amefariki kama Lowassa ndio mnaanza kujisemesha ooh sijui alijenga nini tutunze historia nk.
Kazi iendelee 👇👇
View attachment 2932600View attachment 2932601
---
Uwanja huo unaosubiriwa kwa hamu kujengwa Arusha utapewa jina la Rais wa sasa Samia Suluhu Hassan endapo tu atakubali pendekezo hilo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Gerson Msigwa, alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam jana.
“Kama Wizara, tunapanga kuupa jina la Uwanja wa Samia Suluhu Hassan baada ya kukamilika kwake endapo atakubali pendekezo hilo.
"Utakuwa uwanja wa kisasa wenye uwezo wa kuchukua watu 30,000 na utakuwa miongoni mwa viwanja vya kuandaa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027," anasema.
Aidha, Msigwa anafichua kuwa kazi za ukarabati katika Viwanja vya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam zimepangwa kukamilika Agosti 24 mwaka huu.
"Viti vyote 60,000 ndani ya uwanja vitabadilishwa na vipya na niamini, kazi ya kuinua itakapokamilika, ukumbi utaonekana tofauti kabisa," anasema.
Anaongeza kuwa zaidi ya 31bn/- zimetengwa kwa ajili ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Na wewe kuwa Rais ujipachikeHela zetu mtu anajipachika jina!!!🙆🙆
sio kweli tusipotoshane! Huu uwanja toka umeisha umeitwa kwa jina hilo,labda Kama hujawahi kufika paleUmebatizwa kwa jina lake kwa kulazimisha baada ya yeye B. W. Mkapa kufariki dunia, lakini yeye mwenyewe kwa kinywa chake alikataa kabisa wakati akiwa hai.
Apana huo uwanja uitwe Edward LowasaSaizi unaitwaje? Akijenga Benjamin ni sawa ila akijenga Samia sio sawa si ndio? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hayo yapo Afrika tu,ndio utakuta Moi kasarani stadium sijui, Leopold Senghor stadium sijui, Paul Biya stadium,Allasane Outtara stadium,Felix Heuphoit Boigny, Nelson Mandela stadiumHivi kuna obama stadium au donald trump stadium?
kwani uwanja wa ali hassan mwinyi alijenga yeye? au uwanja wa sokoine huko songea alijenga sokoine?Daraja la Magufuli, Magufuli City Mji wa Serikali,Stendi ya Magufuli nk nk.
Yaani ajenge mwingine harafu jina aitwe ambae hakujenga? Wewe unaona inaingia akilini? Majina yanatolewa kutunza historia na mchango wa viongozi
Hakuna logic ya kutunza kumbuka ya Viongozi Kwa mambo ambayo hawakufanya.kwani uwanja wa ali hassan mwinyi alijenga yeye? au uwanja wa sokoine huko songea alijenga sokoine?
over!Hakuna logic ya kutunza kumbuka ya Viongozi Kwa mambo ambayo hawakufanya.
Vyovyote iwavyo lazima Kuna ushiriki wao wa namna Moja au nyingine.Maana ukiniuliza vitu hajufanya unaita majina yake Ili iwaje Sina majibu.
Mwisho Kila mtu na mtizamo wake tunaweza kukubali kutokubaliana.
Kuitwa maasai ndio maendeleo? Nani mpuuzi wewe au wanaojenga? Basi Utaitwa jina lako ndio maendeleoKwahiyo hata ukiitwa maasaai kuna umuhimu ama ubaya gani? mnaacha kuwaza maendeleo mnawaza upuuzi tu na uchawa.
wewe ndio kiazi mbatata kwahiyo majina ndio yataleta maendeleo? mimi hujanielewa mbwiga wewe namaanisha hakuna chochote uitwe hata jina la babaako, watu wanawaza vitu vya maana sio upupu, watu wanateseka na njaa ripoti zinasema umasikini unaongezeka wewe wa buku jero za kusifia wala huoni kenge wewe.Kuitwa maasai ndio maendeleo? Nani mpuuzi wewe au wanaojenga? Basi Utaitwa jina lako ndio maendeleo
We mpumbavu Samia ndio aje akulimie Ili wewe usiwe na njaa?wewe ndio kiazi mbatata kwahiyo majina ndio yataleta maendeleo? mimi hujanielewa mbwiga wewe namaanisha hakuna chochote uitwe hata jina la babaako, watu wanawaza vitu vya maana sio upupu, watu wanateseka na njaa ripoti zinasema umasikini unaongezeka wewe wa buku jero za kusifia wala huoni kenge wewe.