Gerson Msigwa: Uwanja Mpya wa Mpira Utakojengwa Arusha Utaitwa Samia Suluhu Hassan Stadium

uwanja wa netball ndo uitwe hivyo,,lakini uwanja wa kabumbu uitwe jina la mzee wa CHATO,,manake sijasikia kuna ki2 kimejengwa na kupewa jina lake!!!!......alaf mzee baba alikuwa mnyama in blood!!! alaf alikimbiza sana kwenye miundo mbinu!!! au mnasemaje?
 
Daraja la Magufuli, Magufuli City Mji wa Serikali,Stendi ya Magufuli nk nk.

Yaani ajenge mwingine harafu jina aitwe ambae hakujenga? Wewe unaona inaingia akilini? Majina yanatolewa kutunza historia na mchango wa viongozi
 
Ali Hassan Mwinyi ndiye hana vitu vingi vinavyoitwa kwa jina lake.
 
Hata akitaka tanzania iitwe samia sawa tu......ila 2030 atoke tunamvumilia tu
 
Awamu hii walamba asali kwa kujipendekeza hawajambo, haya bhn tushachambwa kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake!.

Wamekula asali, mizinga na hata masega yake. Nyuki wamehamia kwingine πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ 😎😎😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…