Tunaona raha sana, hususan watu maarufu.Waislamu dini sio ligi .kitu chochote kibaya huwa ukijiunga nacho members wanakuwa na kelele sana .mfano mtu akiamua kuwa mlevi habari zitasambaa sana ila akiamua akasome masters hutasikia ikisambaa.
Sasa hiyo ndio point yangu na hata mimi naelewa hivyoUislamu ni.tofauti na dini nyingine,ukienda kinyume na makatazo ya uislamu,automatic unatokq ndani ya uislamu.Hata kama unajiita muislamu.Uislamu umekataza ushoga,ukiwa shoga,tayari umeshatoka ndani ya uislamu.Mfano mwepesi uwe chama cha upinzani,ufuate rasmi ya chama tawala,itakuwa tayari uko chama tawala.Ni mfano tu,katika uislamu ni zaidi ya hivyo,Allah hakuhesabu tena kuwa wewe ni muislamu.
Yeye yupo katika makosa pamoja na wanaomfuata.Sio tu mashoga bali ni maimam mashoga yani wana swalisha kabisaa
Hiyo imekaaje?
Makosa yanayomfanya akose sifa ya kuwa muislamu au sifa yake ya uislamu ipo palepale?Yeye yupo katika makosa pamoja na wanaomfuata.
Wazenji wanavyo fanya ulawiti jeMtu akisilimu madhambi yote ya nyuma anasamehewa .
Kuhusu tattoo uharamu wake unabaki vilevile kusilimu akiwa na tattoo haifanyi kuwa halali , kama ingekuwa ameselinu huku anabiashara haramu mfano Danguro ,Vilevi nk basi ingekuwa jukumu lake kuachana na hivyo haraka iwezekanavyo kwani ni katika uasi mkubwa . Ikiwa tattoo inauwezekano kufuta bila madhara yeyote itakuwa Wajibu kufuta kama haiwezekani ataishi nazo hivyohivyo Ila haitompasa yeye kufurahia hali hiyo na kujifaharisha nayo ..View attachment 2852197
Kuhusu hao mashoga msimamo wa Uislamu unaeleweka vyema ni katika madhambi makubwa ,kama amesilimu halafu anaendelea na mambo hayo na ameonywa basi Dini inaelekeza huyo sio mwenzetu katika dini ...
Naona mnatifuana wenyewe kwa wenyeweTatizo lako unautafsiri Uislam Kikristo. huelewi kuwa kila Muislam ni imam.
Huyo, kama uliyoandika ni ukweli, ushoga ni wake yeye, kafata mafundisho ya papa, siyo mafundisho ya Kiislam.
Sasa hapo imengiliana vipi na uislam kwnz tuanzie hapo..mnachoshndw kutofautisha imani ya dini ya kiislamu na maisha binafsi ya muislam...sasa football imeingiliana vipi na imani ya kiislam..kwani GSM sio muislam au Bakhresa?Huko kwenye kamari kote mbali
Angalia matajiri wamiliki wa vilabu vikubwa vya mpira ni nani?
Utaona ni waarabu
Lakini kuanzia nembo ya Club mpaka vitaa vya unahodha vyote ni rainbow color
Unakuta muarabu anatumia pesa nyingi akisindikiza na dua ili timu yake ifanye vizuri UEFA ambayo inasapoti ushoga.
Juzi hapo nao Saudi Arabia waliomba nao wajumuishwe kwenye UEFA, yani kiufupi waliomba kuwa pamoja na watu wanaosapoti ushoga ikiwa ni kuwa tayari kwa kuvaa rainbow color ambazo kule Qatar zilipigwa marufuku
Kwanza huwezi kuwa Imam kama hujaoa..vile vile huwezi kuwa Imam kama waumini pasipo na shaka wakijua wewe ni mzinifu au wewe ni mganga wa kienyeji sababu unapiga ramli vitu ambavyo mwenyezimungu hataki yani (kupinga ramli ni kuingilia kazi ya mwenyezimungu) Kingine nikufaamishe. Tofautisha hao mashekhe waganga na ma shekhe au imam...waganga wengi mashekhe watabaki kuwa waumini lkn kuwa imam haiwezekani sababu nimesha kuelezea...na hakuna sehemu uislam unapinga shoga asisali..sababu uislam si dini ya matamko..kama nilivyo kwmbia awali uislam umeshakamilisha imani yake na hukumu zake....sasa refer itakua je shoga awe imam na sifa zote kuwa imam nilizo kutajia hana...Ushoga ni mtindo wa maisha si dini jaribuni kutofautishaSasa hiyo ndio point yangu na hata mimi naelewa hivyo
Kuwa kila kitu kimewekewa sheria unapotoka nje ya dile sheria tena kwa makusudi maana yake umejitoa kwenye hilo kundi.
Sasa waislamu wenzako wanasema its okay aliyechora tattoo kusilimu na kuwa treated kama muislamu.
Kwasababu ameshatubu na hivyo amesafishwa.
Hoja yangu ilikuwa hapa sasa
Je hayo madhambi aliyosafishwa baada ya kuupokea uislamu ndio yaliyokuwa yanamfanya asiwe muislamu??
Jibu ni ndiyo au hapa.... Kama jibu ni ndiyo basi ataporudia kufanya hayo mambo haram basi atakuwa amepoteza sifa ya kuwa muislamu.
Kama jibu ni hapana basi kumbe kufanya haram sio kigezo cha kutokuwa muislamu.
Hivyo kwa point hiyo hakuna sababu ya kumzuia imam shoga asiswalishe kwasababu tumeona kuwa nafasi ya mtu kwenye kuwa muislamu haiwezi kuvuliwa kwa vitu haram anavyofanya.
Huu mfano wa nguruwe ndo umekua mfano muhimu sanaa kwa wakristo sababu mnaona huko wakila nguruwe lkn muislam kakatazwa asipige ramli wala kuzini wala kunywa pombe...lkn vyote unafanya uislam umeweka wazi hukumu zake vyote hivo nimekutajia kutokusali sala 5 hukmu zake zipo...sasa mtu anajua hukmu yake nini ila kaamua kufanya huo sio mtindo wake wa maisha?..hii ndo inapelekea mashekhe na waumini kuwakumbusha waumini waenzao pamoja na vitabu vinaandikwa tusome tuone madhara yake..Waislam tunakazwa kupiga ramli ina madhara mengi tuu lkn mwenyezimungu kakazia kupiga ramli ni kumpinga..sasa nani mwenye hukumu mbaya aliyepiga ramli au aliyekula nguruwe?..Nguruwe ni kiumbe tuu mwenyezimungu kakiumba kinakosa sifa muislamu kukila sababu hana kwato hacheui..muislamu kaamua kula kama alivyo mbwa au kiboko utatoka vipi ktk uislam?Mbona kama sijakuelewa?
Dini sio mtindo wa maisha?.... Kivipi?
Kwani yale makatazo ya dini kuhusu haram huoni kuwa yanagusa life style ya mtu?
Kwamba dini imekataza vitu Haram lakini haijakataza tabia za mitindo ya maisha ya waumini wao.
Kwamba muumini amekatazwa asile nguruwe, lakini ikitokea muumini huyo anakula nguruwe basi haitohesabika kuwa ni kosa ikiwa tu itabainika ni sehemu ya mtindo wake wa maisha?
Sijui ndio hivyo ulivyomaanisha??
Ukiona Niggah wa Marekani ameslim Jua ana mambo yake anataka ayafanye ila anataka back up kutoka kwenye uislam hasa Saudia maana wao humlipa Muislam yoyote wa Marekani atakae slim Mfano;Cascius Clay (Mohamed Ali),Mike Tyson na Louis Farrakhan.........Hawa wanakiri kuwa hupokea pesa kutoka nchi za Kiarabu kila mweziView attachment 2852055
Hakika "Itakapofika nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, watu wataanza kuingia katika dini yake yeye makundi kwa makundi"
Hatimaye bondia machachari kutoka Marekani Gervonta Davis (Tank) hatimaye siku ya leo amebadili dini na kuwa Muislamu.
Hakika ni habari njema sana kwa kuamua kuifata dini ya haki na kufuata njia iliyonyooka.
Pongezi nyingi kwake zimfikie.
Gervonta Davis ana rekodi ya kupambana mapambano 29, 27 ameshinda kwa K.O mawili ameshinda kwa Unanimous Decision (UD) hajawahi kupigwa Wala kutoa sare.
Ikumbukwe hata Devin Haney naye alibadili dini na ni muislamu safi sana na huwa anakwenda kuhiji mara kwa mara.
Devin Haney na Gervonta wapo kwenye mazungumzo huenda mwakani tukaona pambano lao.
Video hii hapa akitamka shahada.
View attachment 2852053
Hii ndo kwnz naisikia kwako kwani Saudia ndo wamiliki wa uislam..hebu kuwa na kichwa kipana kidogo huyo Tank pesa alizokua nazo bado anataka za Saudia pia...aaah hebu tuliza wenge huyo ana matangazo kupitiliza yanayo mpatia pesa atafute za Saudia pia mbn ingekua rahisi basi kujiunga uislam...sasa mbn hayo makampuni yanayo mdhamini ni ya wakristo mbn hayajapanic?Ukiona Niggah wa Marekani ameslim Jua ana mambo yake anataka ayafanye ila anataka back up kutoka kwenye uislam hasa Saudia maana wao humlipa Muislam yoyote wa Marekani atakae slim Mfano;Cascius Clay (Mohamed Ali),Mike Tyson na Louis Farrakhan.........Hawa wanakiri kuwa hupokea pesa kutoka nchi za Kiarabu kila mwezi
Manegro wa USA hawauchukulii uislam kama dini bali ni chombo cha kutetea harakati zao,ndio maana wengi wao wanapokaribia kufa hurudi kwenye Ukristo kama awali
Punguza hasira, hii ni habari kama habari nyengine tu.pambaneni na hali zenu sisi hayo hayatuhusu.
Boxer mwengine huyu anasilimu na wenzake:
All praises belong to Allaah! Professional heavyweight boxer, JARRELL MILLER, has embraced Al-Islam along with his cousin & his trainer. May Allaah guide them and make them firm upon this religion.
View attachment 2852064
Shida yenu nyie Masalia ya Kiarabu uwa hamtaki kuukubali ukweli na uwa mna opinion sio facts!!! Fuatilia kama Malcom x alikuwa hapewi pesa na Saudia ili awalipe vijana wa kinegro waslimu wakapate nafasi ya kubadili maishha yao USA au Louis Farakhan ambae alikuwa analipwa mapesa bwerere na Muammar Gaddafi ili kuwahonga baadhi ya viongozi wa kikristo hasa manegro waslim ili wapewe chochote watachotakaHii ndo kwnz naisikia kwako kwani Saudia ndo wamiliki wa uislam..hebu kuwa na kichwa kipana kidogo huyo Tank pesa alizokua nazo bado anataka za Saudia pia...aaah hebu tuliza wenge huyo ana matangazo kupitiliza yanayo mpatia pesa atafute za Saudia pia mbn ingekua rahisi basi kujiunga uislam...sasa mbn hayo makampuni yanayo mdhamini ni ya wakristo mbn hayajapanic?
Taja mmoja ambaye ni maarufu aliyeuacha Uislamu.
Hao wa kwenu wamepangwa ili mzidi kupigwa pesa za sadaka
Hicho unacho andika sahv na unacho ongea asilimia 95 kiarabu tosha asa sijui utawakwepa vipi waarabu..njoo kwny hoja ya msingi..misingi ya dini ya kiislam ipo vipi?..kipindi Negro wanafanyiwa unyama na white man..waliwahoji mbn nyie mnatufanyia unyama kiasi hiki ilhali ukristo na mafundisho yake hayasemi hivi..na kwa nini sasa tumuamini Yesu na mnatubagua?..mbn waislam hawabaguani wanasali pamoja weusi kwa waarabu na wahindi?..hapo ndo ikawa chanzo cha negro wengi kusilimu..acha radical religion utaishi vzr hata na jirani yako muislam..Uislam ni imani iliyokamilika haina matamko kila kukicha..nakumbuka miaka ya 80 nilipokua mdogo mlikuja na tamko mwaka 2000 ndo mwsh wa dunia mikutano na vipeperushi kila kona sijui mtaacha lini virojaShida yenu nyie Masalia ya Kiarabu uwa hamtaki kuukubali ukweli na uwa mna opinion sio facts!!! Fuatilia kama Malcom x alikuwa hapewi pesa na Saudia ili awalipe vijana wa kinegro waslimu wakapate nafasi ya kubadili maishha yao USA au Louis Farakhan ambae alikuwa analipwa mapesa bwerere na Muammar Gaddafi ili kuwahonga baadhi ya viongozi wa kikristo hasa manegro waslim ili wapewe chochote watachotaka
Kwani dini sio sehemu ya maisha?Sasa hapo imengiliana vipi na uislam kwnz tuanzie hapo..mnachoshndw kutofautisha imani ya dini ya kiislamu na maisha binafsi ya muislam...sasa football imeingiliana vipi na imani ya kiislam..kwani GSM sio muislam au Bakhresa?