Gesi Kali Aina ya Benzene Imevuja Na Kutanda Mji wa Haifa, Israel Baada ya Makombora ya Iran Kupiga Kituo Cha Usafishaji Mafuta

Muajemi kapiga kwenye mshono, hii wameshindwa kuificha maana hali ni tete, mji mzima uko likely kuwa evac'd
Damu inavujia ndani kwa ndani
Mkitandikwa mnaanza kulia kuwa anaua wanawake na watoto.

Na mnamjua Myahudi hajui kumwachia Mungu, lazima alipe kisasi
 
Sasa tuamini lipi tuache lipi?
 
wafia dini nyie furahini kumbukeni kuweka akiba ya maneno Israel imepelekewa shehena ya masilaha ya kisasi zaidi na muda sio mrefu inapelekewa ndege za F 22 ikianza kula vichwa vya viongozi wa Iran msianze kusema wairan wanauawa halaiki,hawana chakula
 
Kapuku wa bonyokwa acha kuleta taarifa za UONGO. kwanza inakusaidia nini na Tanzania yako yenye tabaka kubwa la mafukara na matajiri wewe ukiwa kundi la mafukara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…