Gesi Kali Aina ya Benzene Imevuja Na Kutanda Mji wa Haifa, Israel Baada ya Makombora ya Iran Kupiga Kituo Cha Usafishaji Mafuta

Achana na sababu ulizozitaja, ripoti ya sasa inaonesha shambulizi la kombora limefanya kutokea leakage 100 times higher than usual.
Safari hii uvujaji wa hiyo carcinoma gas ni mara dufu kuliko kawaida.
Isome ripoti vizuri mkuu.
 
Mkuu hili tukio limetokea June 15, Mimi updates za vita kwenye ule uzi nimeanza kuzitoa June 17.
Mbona za Iran ulikuwa unatoa zote adi zengine unarudia mara3!!!

lkn za adui yako wa Moyo na iman yako unaziruka mwisho zinaonekana waziwazi leo!!

unatangaza mpira vizuri lkn sasa umechagua tim yakuipromo hata SIMBA ikishambuliwa ww unadai Yanga ndio anashambuliwa vikali !!!

mwisho matokeo yanashangaza!!!!!

Pamoja na yote umejitaid mwamba japo umeweza pia kutangaza na ya upande mwengine!!!

nawaza angekuwa Echolimai tungezima na Radio Kabisa shubamit!!!!
 
Propaganda za kijinga kabisa, hakuna shambulio lolote uzushi tuu na picha fake
 
Hii vita haipaswi kuisha kibwegebwege, inatakiwa wapigane mpaka mmoja wao ateketee kabisa. No retreat no surrender.
NB: Weka source ya hiyo habari ili tujiridhishe kama ni kweli au la.
 
Propaganda za kijinga kabisa, hakuna shambulio lolote uzushi tuu na picha fake
Uwe una akili wewe fala.
Hiko ni chombo cha Israel kinachoitwa "Times of Israel",je muisrael anamletea propaganda muisrael mwenziye?
Pia hukusoma habari ukaelewa ama huwenda hujui kiingereza,habari inasema matokeo ya shambulizi la vita za siku 12 ndio zimesababisha hayo madhara ya Haifa refinery.
Hayo ni matokeo ya kombora la tarehe 15 June .
 
Acheni kuleta habari za uongo ingekuwa ni hivyo mbona ndio ingekuwa habari inayotrend Al-Jazeera. Ukiona Al-Jazeera wanatoa habari za gaza na Ukraine tu tambua hakuna hot news inayo trend duniani.
 
No such thing , nonsense news za wajinga wajinga kama wewe ili mjisikie vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…