Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,044
Jiandae kufanyaje?Ndio. Kituo kinaitwa jiandae
KuliwaJiandae kufanyaje?
hahahaaa na yule mmama wa chakula....kila nikienda utackia mwanangu umekuja karibu tnaHahhahahaaaa kuna yule mwenye kama kovu usoni
hii ipo mombasa c ndioExecutive lodge....kwa yusufu
Hahahaah hii safiKuna gesti moja tabata dada wa mapokezi ni mlokole..Ukienda pale kabla hajakupa funguo anaanza kukupiga gospel kwanza
mbezi mwisho-dsmhii ipo mombasa c ndio
basi zpo nyongiimbezi mwisho-dsm
Hahahaah mkuu rudi ukarekebisheNamanga Guest House,hii iko Mabibo mwisho...hahahaha hii 2008 nilivunja kidirisha cha choo nikikimbia fumanizi...Vincent kama upo humu nisamehe mkuu sikuja kurekebisha pale sehemu.