Gesti za bongo

Gesti za bongo

Sikurudi kaka nilirudi usiku wa tukio baada ya kupigiwa simu na muhudum kwenda kuangalia madhara niliyosababisha nanilikubali kuifanya hiyo kazi kesho yake but sikurudi baada ya kutangaziwa kiyama na mwenye mtoto,alikuwa mtoto wa jirani yetu mwanajeshi.nasikia walikuja watano wakiwa wamevaa gwanda walitaka wakanipoteze na mabibo kwenyewe nilihama sikurudi nilienda baada ya miaka mitatu.
Hahhaah na walikuwa wanakufahamu?? Pole sana
 
Halafu mara nyingi madada hata hawajui majina, yeye anapelekwa tu tena hata kuangaliana na mhudumu hataki.

Mwanaume unakuwa umesharekebisha kila kitu yeye anaelekea chumbani tu.
Hahahaha no comment
 
Nilishawahi kuachana na mdada mmoja kwa sababu anajua gest nyingi hapa Dar, mpaka Machi Machi anazijua zaidi ya nne na location zake.
Kwani kuzijua kuna shida bana,labda mzururaji tu ndo maana kazjua ila hajaingia
 
Hata kama unazijua nyingi taja chache tu, kama tatu tu. Ila ukishataja zaidi ya 15 hapo panakatisha tamaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 15+ ni bwana afya au ?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 15+ ni bwana afya au ?

Yaani nilishangaa, mimi Machi Machi nilikuwa najua ya Sinza huku kupiata Lion na ya Kinondoni. Nilikuja kujua kumbe ziko nyingi kutoka kwake.
 
Yaani nilishangaa, mimi Machi Machi nilikuwa najua ya Sinza huku kupiata Lion na ya Kinondoni. Nilikuja kujua kumbe ziko nyingi kutoka kwake.
Halafu inaelekea hilo jina analipenda sana vipi hakukutajia ya mabibo?
 
Nilishawahi kuachana na mdada mmoja kwa sababu anajua gest nyingi hapa Dar, mpaka Machi Machi anazijua zaidi ya nne na location zake.

Umenikumbusha jambo....unaanza uhusiano na mdada, mnaanza kutoka kila mwisho wa juma.

Unaanza kugundua kitu..kila muendapo inatokea lazima mkutane na watu si chini ya watano anaojuana nao halafu wote ni njemba.

Baada ya muda uhalisia unakuingia kichwani unasema 'hapa hamna kitu hapa'.....
 
Back
Top Bottom