Get Rich or Die Tryin: Niliyoyapitia katika ukuaji wangu

Get Rich or Die Tryin: Niliyoyapitia katika ukuaji wangu

SEHEMU YA 5:-..
Niliishia pale nilipoona jiwe..

Inaendeleea..
Basi katika kuangalia vinzuri kidude hichi hapa,size ya pipi ivory hivi moyo ukapasuka paaah ndo ilikuwa first time kukutana na jiwe,kama madini nilishawahi kuyaona mara kadhaa maana mabrother walikuwa wanakuja nayo Town kuyabwenga,sasa wakawawananionyesha yalivyo chenga nazijua na madini yaliyoungua pia nayajua vyema.

Aisee lile lilikuwa jiwe la maana,kaka Fred akalichukua chapu na kulitia mfukoni hakuna mwingine aliyeona zaidi yetu sisi wa 4,tukaendelea kupiga kazi kama hakuna kilichotokea.

Ishu ikawa jinsi ya kutoka nalo huko lazima usachiwe tu tena nguo zinakungutwa kabisa,kaka Fred akasema atalimeza basi kwakuwq alishawahi kutoka nayo kwa style hiyo tukamwambia haina kwere do your job broo,mwamba akalimeza chapu kwa maji kama kidonge cha panadol vile.

Ilipofika mda wakuapanda duniani(naposema kupanda duniani kuna wengine hawanielewi nina maanisha kutoka shimoni,maana kule shimoni ni dunia nyingine).
Tukapanda mmoja mmoja wakatusachi wote wanapolo tulikuwa wengi kidogo kama 36 hivi,tulipotoka hapo moja kwa moja brother Fred akaelekea chooni kutoa jiwe na maanisha kulinyaa.

Basi akarudi kashikilia jiwe mkononi,aisee tulifurahi sana maana kwa hesabu za haraka ni kama million 70 na kitu hivi,niliona pesa ndefu kuwahi kuzishika na ukizingatia bado teenager kivile,nilifurahi kinyama msela angu...

Siku hiyo hakuna aliyelala chapu nikatumwa konyagi bapa 3 na bangi pull 6 na mafegi ya kutosha kusheherekea jiwe letu,nakuambia hivi hakuna watu wana matumizi mabaya yapesa kama wachimba madini,wale kutumia laki 1 sijui 3 kwao nikama 30000 hivi,fegi ya mwanapolo haifiki kwenye filter akipiga moshi 2 anaizima anawasha nyingine.

Siku hiyo kwa mara ya kwanza nakunywa ngumu kumeza a.k.a konyagi,nililewa sana.....
Itaendeleeeea...
,
 
Mkuu hivi Kuna anayeenda akarudi salama bila kuvuta Moshi kwl? Zamani Arusha ilikuwa fahari kijana anakuja mtaani nguo zimechafuka ulanga kama mkaa mwili mzima Enzi hizo wanasema katoka Mbuguni[emoji1]Kuna viatu walikuwa wanava brand ya Caterpillar I think....pilipili zilikuwa zinakoma[emoji1732]
 
Pikipili I mean
 
Timberland,meral,cat,Travolta,
 
Back
Top Bottom