Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuinywa.Chai
Inabidi wengine wakuombee pia
Hakika mkuuInabidi wengine wakuombee pia
ChaiSEHEMU YA KUMI NA MOJA:=...
BAADA YA KULA ZILE NDIZI NA KUNYWA MAJI NILIJIKONGOJA MPAKA NDANI,KUNA MAMA ALINIFUATA AKANIULIZA UNASHIDA GANI??
NIKAMUAMBIA NAMTAKA MCHUNGAJI TUU,
MAMA AKAENDA OFFICINE NAKUMUITA MCHUNGAJI,BAADA YA KUJA NIKAMUELEZEA MATATIZO YANGU YOTE.
MCHUNGAJI AKANIOMBEA AISEE NILITAPIKA VITU VYA AJABU SANA,VEUSI KAMA MKAA,BAADA YA KUTAPIKA VILE VITU FAHAMU IKANIRUDIA YA UBINADAMU TENA.
MCHUNGAJI AKANIPA BIBLIA NA NAULI YA KURUDI HOME,HUWEZI KUAMINI NILIRUDI ZANGU KWETU AMBAPO NILIKIMBIA ZAIDI YA MIAKA 2,MAMA ALIFURAHI SANA KUNIONA MARA ALISHANIKATIA TAMAA YA KUNIONA TENA.
WAKAJA NDUGU NA MAJIRANI WAKARIBU KUNIPA POLE,AISEE KUMBE VILE VITU NILIVYOTAPIKA KANISANI NILILISHWA NA WACHAWI NDIVYO VILIVYOHARIBU MAISHA YANGU..
HIYO ILIKUWA 2018..
HUYU MUNGU MUACHE HAITWE MUNGU TUU
DAIMA NITAMUABUDU YEYE PEKEE YAKE..
BASI NIKAANZA MWANZO MPYA KAMA NDO NIMETOKA KUZALIWA,HUWEZI AMINI NIKATAFUTWA NA MSHIKAJI WANGU ANAYEFANYA KAZI YA KUPANDISHA WAZUNGU MLIMA KILIMANJARO,AKANIAMBIA KUNA KAZI YA TOUR GUIDE YA MLIMA KILIMANJARO ,AKANIAMBIA ANANIPA MIEZI KADHAA YA KURUDISHA AFYA TENA..
BASI NIKAANZA KULA NA KUFANYA MAZOEZI
ILIFANYA MAZOEZI KAMA CHAKULA,BAADA YA WEEK KADHAA AFYA IKAANZA KURUDI,NIKAENDA KWA BIBI NGARAMTONI KUKAA HUKO AKAWA ANANIPIKIA LOSHOROO NA VYAKULA VYA ASILI NILIKAA KULE KWA MWENZI 1 HIVI.
AISEE AFYA IKARUDI KAMA MWANZO TENA NIKAPENDEZA MFANO HAKUNA..
JAMAA AKANIPA KAZI YA KUWA GUIDE MLIMA KILIMANJARO,KAZI ZIKAWA NYINGI SANA TIPS KIBAO PESA IKAANZA KUINGIA TENA.
NIKASIMAMISHA ROOM ZANGU 2 CHAPU,WIFE NIKAMRUDISHA NYUMBANI NA WATOTO WATU HAWAKUAMINI KAMA NI MIMI MAANA NIMEPENDEZA KIFUA KIMETANUKA MISULI KAMA YOTE YANI NIKAWA HANDSOME WA MAANA.
MUNGU AKANIPA JAMBO KUBWA SANA..
UNATAKA KUJUA NI JAMBO GANII???
ITAENDELEEEA......
Thank uNdio Kuna Uzi wangu niliwahi kupost wa Sitosahau Wema alionitendea Mungu Mimi nilifika point ya Mwishohuna kazi +stress za mapenzi nikamuomba Mungu Aniue au aniondolee Matatizo [emoji16]ni ndani ya Usiku mmoja niliamka usiku nikalia sana Kwa kuomboleza kukuuuu sijawahi jiachia nikalia Kwa uchungu mbele za Mungu ....naona Mungu mwenyewe Machozi yalimlenga lenga[emoji1][emoji1]Asubuhi jicho likiwa limevimba nikapokea simu Moja ikabadili Kila kitu.....Sasa kwenye comments mtu anakuandikia Kwamba ni chai......yaani unabami unashangaaa uandike chai Ili iweje chai yenyewe hujadanganya una Range Sport[emoji854][emoji16]hahaaaaa....tuheshimu muda wa mtu kujitolea kuandika....na kama ni chai acha usisome.....nyuzi ni nyingi mno [emoji120]
Ujasoma yoteSaa chali angu mbona ujapitiya mapito asee. Kunywa pombe na kuvuta mpepe ndio mapito? kula maisha chali angu
AsanteOmba sana... shetani bado yupo mlangoni
Oiiii jombaaa unaiendeleza saa ngapiii aseeeAsante
Mda sio mrefu chaliiOiiii jombaaa unaiendeleza saa ngapiii aseee
Sawa nitaendeleaInteresting. Endelea mtoa mada
ItaendeleaItaendelea
Mangi shangaliiMango shangweli Shushan vitu chaliiii
Aluta continuaMapambano yanaendelea.