Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Yaani unalalamika Gaddaf kutawala miaka 41,hebu tuambie Malkia Elizabeth wa UK ana miaka mingapi kwenye madaraka?,ulishawahi kusikia waingeleza wamelalamika?Miaka 10 tu inatosha kupima uwezo wako wa uongozi. Ghadaffi ALITAWALA Miaka 41 ALIKUWA na KITU GANI CHA ZIADA?
Kuna watu wengi wanalalamika kupinduliwa Kwa ghadaffi Kwa madai ETI alikuwa na maono ya kuunganisha Africa, Kweli?
Mambo mengi kuhusu Ghadaffi yalikuwa propaganda. Miaka 41 Kwenye uongozi unatafuta Nini Tena zaidi ya kuharibu tu.
Naamini Libya itatulia na maisha yataendelea vizuri tu