Ghadaffi Alitawala miaka 41 (1967-2011), alikuwa na kitu gani cha ziada?

Gaddafi ni baba yangu kisiasa na mimi hukasilishwa sana kwa wanao mbeza mzalendo huyu. Ngoja nikupe machache aliyo yafanya Gaddafi na nikusisitize yanawezekana pia Kongo hata TZ kama tutapata mtawala mwenye akili kubwa kama ile
ward41 umezaliwa mwaka gani?

1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, acumeme ulikuwa bure kwa raia wote

2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.

3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.

4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.

5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.

6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.

7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.

8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola milioni 300 za kimarekane kwa ajili ya gharama .

9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mbili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.

10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14

11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150

12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.

13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA

14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000

15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15

16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)

17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.

La kumi na 7 ndio lilikuwa kubwa kupita yote. Sijataja kuwalipa fedha wahitimu ambao hawajaajiliwa sawa sawa na wale ambao wapo kazini. Kulipia mahali na kujenga nyumba kwa wanao oa. Kufadhili bajeti ya AU kwa asilimia 50. Ingawa alitukosea watanzania alikuja kukiri kosa na akawa rafiki yetu.. akajenga msikiti butiama kwa kuombwa na mwalimu... baadae alikuja kujenga msikiti wa DODOMA. Aliyoyafanya Gadafi hayaji kufanywa na yeyote.. pumzika kwa amani mwanamapinduzi wa kweli baba yangu kanali Gadafi.
 
Ghaddafi aliesababisha Niger na Liberia zisikalike kwa kufadhili Makundi ya Kigaidi
Hii nadhalia waliiamini sana waamerika nadhani waliitumia kama propaganda kumchafua.. baada ya kifo chake magaidi yaliiona Ribya imefongokaaaaaaaa
Kumbuka Ribya ni pensula frani ya kwenda popote. Wamarekani kati ya nadhalia walizo zipinga mapema kuhusiana na waliyo mzushia gadafi ilikuwa ni hilo. Walisema kuuawa kwake kulikuwa kwa makosa ndio kukaibuka wa alquaeda wa Africa kaskazini kama mnawakumbuka... pamoja na Dola la kiislamu na makundi chungu mbovu ambayo yaliishi Libya na kufanya watakavyo ulimwenguni.
 
Vipi mbona hujaongea lolote kuhusu ushiriki wake kwenye vita ya Kagera dhidi ya Tanzania? Au hukumbuki alituma vijana wake waje watuue Nyerere akawadaka kama kuku? Hili jidubwana lilikuwa kiongozi la hovyo sana
Katika mazuri hapakosekani mapungufu
 
Gaddafi ni baba yangu kisiasa na mimi hukasilishwa sana kwa wanao mbeza mzalendo huyu. Ngoja nikupe machache aliyo yafanya Gaddafi na nikusisitize yanawezekana pia Kongo hata TZ kama tutapata mtawala mwenye akili kubwa kama ile
ward41 umezaliwa mwaka gani?

1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, acumeme ulikuwa bure kwa raia wote

2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.

3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.

4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.

5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.

6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.

7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.

8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola milioni 300 za kimarekane kwa ajili ya gharama .

9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mbili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.

10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14

11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150

12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.

13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA

14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000

15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15

16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)

17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.

La kumi na 7 ndio lilikuwa kubwa kupita yote. Sijataja kuwalipa fedha wahitimu ambao hawajaajiliwa sawa sawa na wale ambao wapo kazini. Kulipia mahali na kujenga nyumba kwa wanao oa. Kufadhili bajeti ya AU kwa asilimia 50. Ingawa alitukosea watanzania alikuja kukiri kosa na akawa rafiki yetu.. akajenga msikiti butiama kwa kuombwa na mwalimu... baadae alikuja kujenga msikiti wa DODOMA. Aliyoyafanya Gadafi hayaji kufanywa na yeyote.. pumzika kwa amani mwanamapinduzi wa kweli baba yangu kanali Gadafi.
Huyu bwana mwema uliyemwagia sifa kede kede kuwa mtu safi hapa bongo alijenga Makanisa mangapi?
 
Asilimia 80 uliyoyaandika hapa ni uongo bila kusahau Libya ya dikteta Gaddafi haikuwa na utawala wa sheria.

Kwa issue ya mauaji taja madikteta kama bokasa. Gadafi hakuwa wa upande huo.. hajawahi kuua wapinzani wake hata kuwafurusha kama kwa Nyerere. Alikuwa muislam safi. Kwanza mapinduzi aliyoyafanya hayakuwa ya kumwaga damu ndio maana yaliitwa white revolution. 2011 walipo andamana hakuwapiga hata kidogo wiki 2.. wametoka Benghazi waenda Tripoli.Alianza kuwapiga baada ya kudhauriwa vibaya na mwanae yule mpenda mpira. Nikubaliane nawe Gadafi asingeendekeza udini alikuwa wa tofauti japo mengi mazuri aliyoyafanya ni maelekezo ya dini yake. Mpaka mwaka 2011 kama ukiipeleka Libya ulaya ilikuwa taifa la nne kwa utajiri na waliwashinda italy
Gadaff angekuwa kiongozi mzuri kama angeweka dini pembeni hakuna maendeleo nyuma ya ubaguzi wa kidini huo ni ubinafsi.. hata hivyo propaganda zilizo aminishwa watz wengi ni kwamba wakati wa utawala wake kulikuwa na neema ila Libya iliharibika kitambo kwa kuendekeza kwake tamaa kuona kama yeye ni mungu atabaki na power milele.

Hata hivyo baada ya kuuwa waliokuwa wanampinga kwa kipindi kirefu nae alikuja kuuwa kama mbwa wale wachache walikuwa wananeemeka ndio mpaka leo wanataka enzi yao irudi...
 
Asilimia 80 uliyoyaandika hapa ni uongo bila kusahau Libya ya dikteta Gaddafi haikuwa na utawala wa sheria.
Taja la uongo hata moja nikuthibitishie nimemsoma mno Gadafi. Na aliyoyafanya alijifunza kwa Gamal na aliongizwa na Green book kitabu chake. Taja hata moja tuu la uongo
 
Vipi mbona hujaongea lolote kuhusu ushiriki wake kwenye vita ya Kagera dhidi ya Tanzania? Au hukumbuki alituma vijana wake waje watuue Nyerere akawadaka kama kuku? Hili jidubwana lilikuwa kiongozi la hovyo sana
Nilikuwa ninamjibu huyu aliyekuwa anajaribu kujenga hoja kupitia Nyerere. Nyerere alisimama na Waigbo kwasasa ya Humanity na sio dini/imani kama anajaribu kupotosha yeye.
 
Kuhusu Kutuma Wanajeshi wake kuja kuungana na Idd amini kuua Watania nayo ni propaganda ? au ulikuwa hujazaliwa?

Kuhusu kukodi machangudia na kuya bebebesha misahafu kule italy lengo kuudhalilisha ukristu nayo propaganda au ulikuwa hujazaliwa

Kuhusu, kuwahonga fedha nyingi na vifaa vya kampeni baadhi ya wagombea uraisi Afrika ili wakishinda waslimu na kuziunganisha nchi zao kwenye OIC nayo ni propaganda au ulikuwa hujazaliwa

Kila alichokifanya Ghadafi afrika alifanya hivyo kama mwenezi wa dini yake na sii misaada isiyokuwa na malengo hayo.
Katika hayo hapo juu aliyafanya mawili.. kupigana na Tanzania, na kuunga mkono baadhi ya wagombea wa kiislamu walio mfuata kuomba support yake. Hilo la Tanzania lilipita na mwalimu hakuwa na Kinyongo nae.
 
Alitujengea misikiti mingi Tanzania, hata Msikiti mkubwa Dodoma alijenga yeye, unaitwa msikiti wa Ghadaffi.
kwa ela ya kodi ya walibyia sio ? bas Samia akajenge makanisa Zambia kwa kodi yako ,si ndo vzr ?
 
Solution ya mgogoro wa Nigeria alipendekeza nchi igawanywe upande mmoja wakae waislamu na upande mwingine wakae Wakristo.

Huyo ndio Ghaddaf akikutana na walevi wa madaraka anajifanya anataka Africa iungane iwe USA.
Ni nyerere ndiye aliyependekeza hivyo
 
1. LIBYA watu walikuwa wanalipia umeme kama kawaida kwa miaka yote

2. Libya ya dikteta Gaddafi ilikuwa ni nchi ya Kiislamu na kwenye Uislamu riba ni haramu.

3. Ni ujinga kufikiria au kuamini wazazi wake Gaddafi walikuwa wanaishi kwenye nyumba za kupanga yeye akiwa Rais
Pia Gaddafi alikuwa anapenda kuishi kwenye mahema ya kifahari, hata alipokuwa akienda nchi nyingine kama US alikuwa anaweka hema lake la Kifahari kwenye viwanja vya Trump

4. Kwa nini Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha wakati mtu ukiajiriwa unalipwa mshahara??

5. Libya ilianza kuchimba mafuta kibiashara mwaka 1960 na miaka 9 tu baadaye Gaddafi akafanya mapinduzi, ulitegemea ndani ya miaka 8 ungeona faida zozote za uchumi wa mafuta uliokuwa unaanza kuchipuka??
Gaddafi ni baba yangu kisiasa na mimi hukasilishwa sana kwa wanao mbeza mzalendo huyu. Ngoja nikupe machache aliyo yafanya Gaddafi na nikusisitize yanawezekana pia Kongo hata TZ kama tutapata mtawala mwenye akili kubwa kama ile
ward41 umezaliwa mwaka gani?

1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, acumeme ulikuwa bure kwa raia wote

2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.

3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.

4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.

5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.

6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.

7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.

8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola milioni 300 za kimarekane kwa ajili ya gharama .

9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mbili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.

10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14

11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150

12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.

13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA

14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000

15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15

16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)

17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.

La kumi na 7 ndio lilikuwa kubwa kupita yote. Sijataja kuwalipa fedha wahitimu ambao hawajaajiliwa sawa sawa na wale ambao wapo kazini. Kulipia mahali na kujenga nyumba kwa wanao oa. Kufadhili bajeti ya AU kwa asilimia 50. Ingawa alitukosea watanzania alikuja kukiri kosa na akawa rafiki yetu.. akajenga msikiti butiama kwa kuombwa na mwalimu... baadae alikuja kujenga msikiti wa DODOMA. Aliyoyafanya Gadafi hayaji kufanywa na yeyote.. pumzika kwa amani mwanamapinduzi wa kweli baba yangu kanali Gadafi.
 
Siku niliangalia documentary ya namna maji yalipitishwa libya ili kusupport kilimo utajua Gaddafi alikua akipiga kazi asee.
mkirud bongo mlikuwa mnaponda ndege za jiwe hata sgr pia na kilimo cha katani pia ila kwa ghadaf mnasifia kbs
 
Yaani unalalamika Gaddaf kutawala miaka 41,hebu tuambie Malkia Elizabeth wa UK ana miaka mingapi kwenye madaraka?,ulishawahi kusikia waingeleza wamelalamika?
mamlaka yanafanana , ndan ya uk wazir mkuu ndo kila kitu haya turud huko Libyia ni nan alikuwa juu ya Ghadaf ?
 
Hizi propaganda nyingine tena zimekubuhu uzushi.

Gaddafi ndiye aliyechangia kuweka satellite angani kwa matumizi ya internet Afrika na ndiye aliyeongeza uwezo wa bara hili kwenye mambo ya internet. Jee hiyo Afrika ni ya waislamu peke yao?

Huo uongo wa dini moja wakati hata hao waarabu wenyewe wako wakristo, tena wale original siyo akina nyinyi ukristo wenu uliopitia Rome.
ushabiki unakutia ujinga , vitu vipo waz kbs ila unalzimish tufuate akil yko
 
Back
Top Bottom