Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Yaani unalalamika Gaddaf kutawala miaka 41,hebu tuambie Malkia Elizabeth wa UK ana miaka mingapi kwenye madaraka?,ulishawahi kusikia waingeleza wamelalamika?Miaka 10 tu inatosha kupima uwezo wako wa uongozi. Ghadaffi ALITAWALA Miaka 41 ALIKUWA na KITU GANI CHA ZIADA?
Kuna watu wengi wanalalamika kupinduliwa Kwa ghadaffi Kwa madai ETI alikuwa na maono ya kuunganisha Africa, Kweli?
Mambo mengi kuhusu Ghadaffi yalikuwa propaganda. Miaka 41 Kwenye uongozi unatafuta Nini Tena zaidi ya kuharibu tu.
Naamini Libya itatulia na maisha yataendelea vizuri tu
Kwa kweli naona baada ya kupinduliwa Libya imeendelea kweli yani wamepata demokrasia na maendeleo haswa.Miaka 10 tu inatosha kupima uwezo wako wa uongozi. Ghadaffi ALITAWALA Miaka 41 ALIKUWA na KITU GANI CHA ZIADA?
Kuna watu wengi wanalalamika kupinduliwa Kwa ghadaffi Kwa madai ETI alikuwa na maono ya kuunganisha Africa, Kweli?
Mambo mengi kuhusu Ghadaffi yalikuwa propaganda. Miaka 41 Kwenye uongozi unatafuta Nini Tena zaidi ya kuharibu tu.
Naamini Libya itatulia na maisha yataendelea vizuri tu
▶️ Eti katika dhana yake ya umoja wa Afrika, alikuwa anamaanisha AFRIKA MOJA DINI MOJA , alikuwa ametenga kanda katika mpango wake na Afrka Mashariki alikuwa amemuandaa NDULI IDD AMIN DADA kuwa AMIR wa Afrika Mashariki. Operation yake ya kwanza ilishindwa alivyotuma askari wake kuja kuua Watanzania kwenye vita ya Uganda na askari hao nyerere aliwakamata kama kukuAlitujengea misikiti mingi Tanzania, hata Msikiti mkubwa Dodoma alijenga yeye, unaitwa msikiti wa Ghadaffi.
Wanajua sana na ndiyo maana walimkamua kisawasawa alipochukuwa raia wake waliotekwa.Watanganyika hawajui hili.
Hizi propaganda nyingine tena zimekubuhu uzushi.Eti katika dhana yake ya umoja wa Afrika, alikuwa anamaanisha AFRIKA MOJA DINI MOJA , alikuwa ametenga kanda katika mpango wake na Afrka Mashariki alikuwa amemuandaa NDULI IDD AMIN DADA kuwa AMIR wa Afrika Mashariki.
Solution ya mgogoro wa Nigeria alipendekeza nchi igawanywe upande mmoja wakae waislamu na upande mwingine wakae Wakristo.Hizi propaganda nyingine tena zimekubuhu uzushi.
Gaddafi ndiye aliyechangia kuweka satellite angani kwa matumizi ya internet Afrika na ndiye aliyeongeza uwezo wa bara hili kwenye mambo ya internet. Jee hiyo Afrika ni ya waislamu peke yao?
Huo uongo wa dini moja wakati hata hao waarabu wenyewe wako wakristo, tena wale original siyo akina nyinyi ukristo wenu uliopitia Rome.
yani mawazo kama haya lazima yatatoka kwa Muslim....[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]jamaa alikuwa mwovu ameuwa watu tatizo nyie kwenu mpaka watu wabaya mnawapaka mafuta #Osama #Sadamu HusseinHizi propaganda nyingine tena zimekubuhu uzushi.
Gaddafi ndiye aliyechangia kuweka satellite angani kwa matumizi ya internet Afrika na ndiye aliyeongeza uwezo wa bara hili kwenye mambo ya internet. Jee hiyo Afrika ni ya waislamu peke yao?
Huo uongo wa dini moja wakati hata hao waarabu wenyewe wako wakristo, tena wale original siyo akina nyinyi ukristo wenu uliopitia Rome.
Okay, 10 inatosha kupima uwezo wako. Halafu ukionekana unaweza baada ya kupimwa?Miaka 10 tu inatosha kupima uwezo wako wa uongozi.
Mbona Nyerere alisupport Biafra lile jimbo lililojitenga la Ojukwu? Unajua ni kwa sababu gani?Solution ya mgogoro wa Nigeria alipendekeza nchi igawanywe upande mmoja wakae waislamu na upande mwingine wakae Wakristo.
Huyo ndio Ghaddaf akikutana na walevi wa madaraka anajifanya anataka Africa iungane iwe USA.
Solution ya mgogoro wa Nigeria alipendekeza nchi igawanywe upande mmoja wakae waislamu na upande mwingine wakae Wakristo.
Huyo ndio Ghaddaf akikutana na walevi wa madaraka anajifanya anataka Africa iungane iwe USA.
Mimi ndiyo muislamu na hakuna sehemu niliyosema kwamba Gaddafi alikuwa malaika. Usiniwekee maneno mdomoni.yani mawazo kama haya lazima yatatoka kwa Muslim....[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]jamaa alikuwa mwovu ameuwa watu tatizo nyie kwenu mpaka watu wabaya mnawapaka mafuta #Osama #Sadamu Hussein
Ni kwasababu ya Humanity tu. Kama alivyosimama kidete dhidi palestina ndivyo vivyo hivyo alivyosima upande wa Biafra.Mbona Nyerere alisupport Biafra lile jimbo lililojitenga la Ojukwu? Unajua ni kwa sababu gani?
Huyo kijana wa 2000,sLibya ya Sasa na ya enzi za Ghadaffi ipi Ina uafadhali?
Kuhusu Kutuma Wanajeshi wake kuja kuungana na Idd amini kuua Watania nayo ni propaganda ? au ulikuwa hujazaliwa?Hizi propaganda nyingine tena zimekubuhu uzushi.
Gaddafi ndiye aliyechangia kuweka satellite angani kwa matumizi ya internet Afrika na ndiye aliyeongeza uwezo wa bara hili kwenye mambo ya internet. Jee hiyo Afrika ni ya waislamu peke yao?
Huo uongo wa dini moja wakati hata hao waarabu wenyewe wako wakristo, tena wale original siyo akina nyinyi ukristo wenu uliopitia Rome.
Vipi mbona hujaongea lolote kuhusu ushiriki wake kwenye vita ya Kagera dhidi ya Tanzania? Au hukumbuki alituma vijana wake waje watuue Nyerere akawadaka kama kuku? Hili jidubwana lilikuwa kiongozi la hovyo sanaNi kwasababu ya Humanity tu. Kama alivyosimama kidete dhidi palestina ndivyo vivyo hivyo alivyosima upande wa Biafra.
Waigbo hawakuwa na mtetezi, Urusi ilitoa ndege, Misri ikatoa marubani kwenda kuua Waigbo, ndani ya aridhi yao wakawa - massacred.
Swali gani hapo utopolo mtupu